cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
- Thread starter
- #21
Bibie Cheusi sometimes I wonder as to the basic difference in thinking kati ya wanaume na wanawake.
Tumeona mara kadhaa mwnamke anatembea nusu uchi au amevaa nguo zinazombana sana kiasi cha kuonyesha kila kitu hadharani.
Wanawake wa aina hiyo wala hawako concerned watu wengine wanafikiri vipi au kupata hisia gani.
Hata makanisani, umekuwa mtindo siku hizi kucheza jives ambazo zinatikisa mwili wa mwanamke, mitikisiko inayoweza kuwa suggestive na kuondoa amani ya kiroho.
Avtar yako, Cheusi, ilikuwa inafall katika category hii ya kutofikiria upande wa pili unahisi vipi.
Niliiona hiyo avtar na, I am sorry to say, it put me off.
Hii ya kidole can be just a bit better , but you never know what turns on some people(men).
ndio maana nikaomba radhi na kutubu.
halafu wkt mwingine nilihisi watu hawanichukulii serious hata nilipojaribu kuwa seriouz sbb nadhani baadhi walidhani nimekuja hapa kuwatega,na baadhi wanadai eti wanawake wenye makalio makubwa hawana akili kichwani eti!
sasa wote tuwe na amani ya kiroho bila kuingizana majaribuni!