Nisameheni

Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

I love u all.
Lead me not to temptation,I can find it myself!!!
 
hebu fatilia B,,,, kuna mtu anajifanya championi wa kuedit apo., Mi akija CM akamblast simo! ataka kuvaa viatu vya wakubwa
daktari wangu unayefanya upasuaji bila kuacha makovu,huna haja ya kuwa na presure,si unaona editor mwenyewe yuko ki msimu zaidi!
 
hiyo roho yako wangeitolea wapi mamii?? kwa kutoboa avatar yako au??

mi nadhani ni busara kuishi vile upendavyo na si vile walimwengu watakvyo
mwisho wa siku utajilazimisha kurukia usipofikia ikawa tabu

(hapa ni dada to dada talk Cheusi)

nimekupata my lovely sis!thanx
unajua mi na-hang sana na wapwaz siku hizi,wakienda mkuranga huwa hawaniachi,hata kwenye macounter yao nawasindikizaga,muulize nanihii
 
daktari wangu unayefanya upasuaji bila kuacha makovu,huna haja ya kuwa na presure,si unaona editor mwenyewe yuko ki msimu zaidi!

CM, wala hanipi pressure uyo,

@bht,vipi B siku hizi unaingia sana ndani aka deep eeh
 
cheusimangara
@ thanx kwa kile kitu eti ee dada halisi wa Kitanzania
talk to u kesho mpendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom