Nisameheni

kweli biggy mbongo yako imepata mushkeri karibuni......
I told you. Nikichanganya zile liquid zile. Unakumbuka mambo ya back and forth? Sijui hiki ni kinoname au kiblurey? I don know!

hehehe hommie....ndo umeconfirm apo!
Unakumbuka yale mambo ya kwenye kemistri form srii B sijui ndo makuantativu analisisi? Element inakuwa kwanza present, then present tena, na tena. Halafu shuwaaaap: Confirmed!

goodafternoon my dear Carmel!!!
Hii sasa ndio ofu topiki. Na nyingine hii hapa chini.

carmel, weekend ilikuwaje?:rolleyes:
 
itafahamika tu mwaka huu!...mimi na mkoloni.....!MKOLONI NA MIMI.

leo tunajadili nini?i mean MUDA HUU TUNAJADILI NINI?
 
itafahamika tu mwaka huu!...mimi na mkoloni.....!MKOLONI NA MIMI.

leo tunajadili nini?i mean MUDA HUU TUNAJADILI NINI?
We inabidi tukutafutie Kibanga a do the needful kwa mkoloni wako!
BTW vipi haka kabaridi, gesti umepata nafasi kweli?
 
We inabidi tukutafutie Kibanga a do the needful kwa mkoloni wako!
BTW vipi haka kabaridi, gesti umepata nafasi kweli?
hahaaha!i am connecting from there there!.........(....)!enewei

mi nasemaje,safari HII tutafanya FUMANIZI OCEANIC.tutaenda tu...

WANATAKA TUNAENDA....!hawataki tunaenda..!ngoja niendele na vipindi darasani
 
Unajua bia za oceanic zinalewesha sana.......... anzia kukonekti dots hapo.
 
??????

Mimi bwana shemegi tukienda osheniki ntalewa sana ntashindwa kuendesha......... Tofauti na osheniki: Hey hebu ongeza bia hapa watu wana kiu! Washikiz wangu bana, wamepata wadumisha mila na desturi!!!
tutafika tu!
mguu kwa mguu mpaka MAPINGA
 
??????

Mimi bwana shemegi tukienda osheniki ntalewa sana ntashindwa kuendesha......... Tofauti na osheniki: Hey hebu ongeza bia hapa watu wana kiu! Washikiz wangu bana, wamepata wadumisha mila na desturi!!!
hommie bado hajaamka tu....nataka kuanza kuichunguli hii thread kama guest!!
 
Cheusi ile ya pete ya uchumba uliweka juzi ndo ingekunusuru labda......(japo naskia pete nazo ndo kivutio)
mie pia niliazani hivyo bht lkn wapwaz wakataka kunitoa roho wakidai eti hii avatar mali yao sina haki ya kuitoa,
 
Amini nakuambia: Hakuna raha kama kudumisha mila na mrembo mwenye pete ya uchumba. Laiti Cheusie angelijua hilo...............!
chrispin chrispin chrispin hebu nenda kule kwenye darasa langu la mahubiri nataka kuongea na wewe!
 
mie pia niliazani hivyo bht lkn wapwaz wakataka kunitoa roho wakidai eti hii avatar mali yao sina haki ya kuitoa,

hiyo roho yako wangeitolea wapi mamii?? kwa kutoboa avatar yako au??

mi nadhani ni busara kuishi vile upendavyo na si vile walimwengu watakvyo
mwisho wa siku utajilazimisha kurukia usipofikia ikawa tabu

(hapa ni dada to dada talk Cheusi)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom