LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,867
- 19,093
Ukioa mwanamke mzuri jiandae kisaikolojia kuchapiwa. Mbaya zaidi midingi yenye hela ndefu ikipenda chombo chako watapenyeza rupia na mwanamke akiwa laini unachapiwa asubuhi tu. Ukioa mbaya ukidhani hatavutia wahuni nako ni yaleyale tu kuna muhuni atavutiwa naye na atataka kumuonjea mpiko. Mbaya zaidi akipata mimba ya muhuni hutajua haraka ni mpaka baadae sana itakuja kugundulika mwanamke alichapwa nje akanasa mimba na kuzalia ndoani. Mtoto hatafanana na baba labda afanane na mama ili kuficha soo. Ukute nyie wote ni weupe mtoto atoke ni mweusi hapo siri itavuja haraka. Baba na mama ni weusi mtoto atoke ni mweupe hiyo nayo imekaaje? Ukioa bora ujue hauko peke yako kuna wengine pia wanamchakata mke wako kwa siri, qmmamae nikigundua mchezo huo kuna mawili, jela na hospitalini sitaki kwenda, nafukuza mke au naondoka nimuachie uhuru achakatwe tani yake isiwe taabu