Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

Kakumamoto

JF-Expert Member
May 6, 2015
968
1,268
Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka, Mtura nao ukatoweka! Likawa linapatikana Bomu, mimi silipendi sana.

Bado najiuliza kwanini Mtura haupatikani kwenye Bar nyingi mjini wakati ni mtamu balaa?! Bia inashuka kama maziwa!? Yani hata Kimara/Mbezi hakuna Mtura?! Chefs mliomo humu, nini tatizo?! TUNATAKA MTURAAA
 
Mtura ndo nini?
Utumbo uliochakatwa | tazama hii video |

- Maandalizi ya utumbo kwanza
1676961865543.png


-
images
 
Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Bar nyingi mjini?! Wapishi hakuna?! Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka...
Ndio nini mtura huo?
 
Nimesema Dar hakuna, hata Mbezi/Kimara ambako wachaga ni wengi hakuna!
Bar zilizokuwa zinatrngeneza Mtura hazipo tena.

Latemba ya zamani imekama na jiko kachukua mtu mwingine. Mbezi pale Safari park pamekufa, luguruni Park jiko lipo kwa mtu mwingine nafikiri.
 
Back
Top Bottom