Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

Wadau nawasabahi.

Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama.

Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya Uchaguzi kuwa Halima Mdee na kundi lake sio wanachama wao kikatiba, hivyo hawastahili kuwa bungeni. Lakini bunge, serikali, na tume ya uchaguzi kwa pamoja wameamua kuvunja katiba kwa makusudi kwa kuendelea kuwalipa mishahara na posho kinyume na sheria kwa mujibu wa katiba. Kwani katiba inasema moja ya sababu za mbunge kupoteza ubunge wake ni "kufukuzwa uanachama na chama chake".

Hakika, bunge letu limeweka historia ya kuwa "Bunge lenye wabunge wasio na chama".
Najiuliza, nini hatima ya Halima Mdee na kundi lake baada ya bunge kuvunjwa?
Je, watajiunga na CCM?
Je, watajiunga na vyama vingine ila sio CHADEMA?
Je, CCM itawateua kama wabunge wa viti maalum?
Au watastaafu siasa?

Ngoja tusubiri 2025.
Watajiju tamaa za kishamba zimewaponza , ujinga mtupu yani unaanzaje kauvunja kile kimekutengeneza na bado lahana itafuta mpaka vizazi vyao
 
Hiyo sayansi ya siasa iliyoona Lowasssa ndio anafaa kuwa mgombea wa vodafasta huku akiwa fisadi, pia itatumika sayansi hiyo hiyo kuwarudisha akina Mdee.
Mtu unapokuwa mfuasi wa chama fulani, haina maana kwamba usihoji chochote kinachofanyika ndani ya chama chako. Nilikuwa sijui kwamba mkuu 'Zanzibar-ASP' ni mfuasi wa chama asiyekuwa na mashaka yoyote yanayofanyika ndani ya chama chake. Hapa ni kama anawajua viongozi wake wote, na yote waliyo nayo mioyoni mwao, na kujifanya yeye anawasemea viongozi hao bila ya shaka yoyote. Hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo juu ya mwenzake. Hata mke wake tu nyumbani hawezi kumpa sifa ya namna hiyo.
 
Wadau nawasabahi.

Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama.

Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya Uchaguzi kuwa Halima Mdee na kundi lake sio wanachama wao kikatiba, hivyo hawastahili kuwa bungeni. Lakini bunge, serikali, na tume ya uchaguzi kwa pamoja wameamua kuvunja katiba kwa makusudi kwa kuendelea kuwalipa mishahara na posho kinyume na sheria kwa mujibu wa katiba. Kwani katiba inasema moja ya sababu za mbunge kupoteza ubunge wake ni "kufukuzwa uanachama na chama chake".

Hakika, bunge letu limeweka historia ya kuwa "Bunge lenye wabunge wasio na chama".
Najiuliza, nini hatima ya Halima Mdee na kundi lake baada ya bunge kuvunjwa?
Je, watajiunga na CCM?
Je, watajiunga na vyama vingine ila sio CHADEMA?
Je, CCM itawateua kama wabunge wa viti maalum?
Au watastaafu siasa?

Ngoja tusubiri 2025.
ni mapema sana,
ila iko wazi wengi wao hawatashiriki active politics za majukwaani awamu ijayo :spandauB:
 
Wadau nawasabahi.

Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee na kundi lake uanachama.

Pia, CHADEMA wametekeleza wajibu wa kikatiba kulijulisha Bunge na Tume ya Uchaguzi kuwa Halima Mdee na kundi lake sio wanachama wao kikatiba, hivyo hawastahili kuwa bungeni. Lakini bunge, serikali, na tume ya uchaguzi kwa pamoja wameamua kuvunja katiba kwa makusudi kwa kuendelea kuwalipa mishahara na posho kinyume na sheria kwa mujibu wa katiba. Kwani katiba inasema moja ya sababu za mbunge kupoteza ubunge wake ni "kufukuzwa uanachama na chama chake".

Hakika, bunge letu limeweka historia ya kuwa "Bunge lenye wabunge wasio na chama".
Najiuliza, nini hatima ya Halima Mdee na kundi lake baada ya bunge kuvunjwa?
Je, watajiunga na CCM?
Je, watajiunga na vyama vingine ila sio CHADEMA?
Je, CCM itawateua kama wabunge wa viti maalum?
Au watastaafu siasa?

Ngoja tusubiri 2025.
Kwani mtu HAWEZI kuishi nje ya Chadema? Huu ujinga peaneni nyumbu tu.
 
Kama kuna kitu kingine chochote cha zaidi ambacho ni cha kweli, kina nguvu na mantiki yenye kupingana na hichi tunachokijua wote kuhusu ubunge wa kimalaya wa Covid 19 tuambie basi ili tujue sote hapa JF. Kwanini husemi hicho kama kipo na unakijua?
Unachokijua wewe mwanachama wa CHADEMA siyo lazima ndiyo iwe 'fact' ya watu wengine kuichukulia kuwa kweli. Wewe umepofushwa na mahaba juu ya chama chako kiasi kwamba fikra zako hazikuruhusu tena kuona tofauti na wanayoona wengine.

Sikiliza, sisi wengine tunaandika haya hapa, siyo kwamba hatuwatakii mema CHADEMA, hata kama siyo wanachama wa chama hicho. Tunapenda sana, hata kesho, CHADEMA ingeweza kuwaondoa CCM, tutawashangilia.

Kinachotukatisha tamaa, ni watu wa aina yako mliolewa kabisa damu ya chama kiasi kwamba kuhoji chochote juu ya matendo ya baadhi ya viongozi wenu, mnatufanya tuwe maadui. Nyinyi ndio maadui wenyewe, siyo wa chama chenu tu, bali wa taifa hili.

Mnafanya kazi tuliyotegemea mngeweza kuifanya ionekane kuwa haiwezekani. Rudi nyuma kidogo, tulizana. Viongozi wenu siyo malaika. Wahojini ili muweze kuwa na uhakika, na kuwa na hizo 'facts' unazozizungumzia hapa. Kuwahoji viongozi siyo dhambi.
 
Mtu unapokuwa mfuasi wa chama fulani, haina maana kwamba usihoji chochote kinachofanyika ndani ya chama chako. Nilikuwa sijui kwamba mkuu 'Zanzibar-ASP' ni mfuasi wa chama asiyekuwa na mashaka yoyote yanayofanyika ndani ya chama chake. Hapa ni kama anawajua viongozi wake wote, na yote waliyo nayo mioyoni mwao, na kujifanya yeye anawasemea viongozi hao bila ya shaka yoyote. Hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo juu ya mwenzake. Hata mke wake tu nyumbani hawezi kumpa sifa ya namna hiyo.
Hiyo imani sijui anaitoa wapi kwa Hawa viongozi. Hao akina Mdee si ndio tulikuwa tunawaona Makamanda wa hatari, lakini wakafanya Mambo ya ajabu? Nimempa mfano wa Lowassa, alipokelewa na viongozi wachache na akapitishwa kugombea urais akiwa na wiki chache ndani ya chama. Je Lowassa alipokelewa bila viongozi kadhaa kupewa hela?

Kwa Sasa Lisu anapiga kelele kuwa kuna fedha chafu kwenye uchaguzi ndani ya chama, ni kundi gani limeshika hizo fedha chafu? Katika mazingira ya pesa chafu, anatoa wapi nguvu ya kutoa mishipa ya shingo?
 
Tumia heshima kidogo. Kwa nini uwaite malaya wa COVID-19? Je tukisema na wewe ni mtoto wa malaya utakubali? Maana hata wewe mama yako ni mwanamke kama hao
Sikutegemea kamwe kuwa huyu 'Zanzibar-ASP' angekuwa ni mtu mwenye lugha chafu kama niliyoiona leo. Leo anaonekana kama mtoto anayeingia kwenye rika jipya; vijana wanaobalehe, ndio wanaotumia lugha za hovyo namna hii. Amenogewa sana kuwa ndani ya CHADEMA mpaka ameanza kujisahau hivi. Chama hiki kikipata madaraka na watu wa aina hii ndio wakawa viongozi itakuwaje?
 
Hiyo imani sijui anaitoa wapi kwa Hawa viongozi. Hao akina Mdee si ndio tulikuwa tunawaona Makamanda wa hatari, lakini wakafanya Mambo ya ajabu? Nimempa mfano wa Lowassa, alipokelewa na viongozi wachache na akapitishwa kugombea urais akiwa na wiki chache ndani ya chama. Je Lowassa alipokelewa bila viongozi kadhaa kupewa hela?

Kwa Sasa Lisu anapiga kelele kuwa kuna fedha chafu kwenye uchaguzi ndani ya chama, ni kundi gani limeshika hizo fedha chafu? Katika mazingira ya pesa chafu, anatoa wapi nguvu ya kutoa mishipa ya shingo?
Na hapo akikujibu, atakwambia anakujibu kwa "facts"; maajabu ndiyo hayo!
 
Viongozi "wote" wa CHADEMA unao uwezo wa kuwasemea wewe kwa uhakika wote kwamba "fact" wanazokupa hazina mashaka yoyote? Wewe unao uwezo wa kuwahoji, hadi mioyoni mwao na kuona yanayotoka mdomoni siyo yaliyomo moyoni?
"Katiba ya Tanzania" ni mara ngapi imekiukwa pamoja na kuwepo kama 'fact', tukubali tu kuwa kwa kuwa kuna katiba hiyo tusitegemee kuona mambo yanayokiuka katiba. Tuamini tu kuwa uwepo wa Katiba kama "fact" basi mengine yote yanayofanyika ni fact inayoendana au kukiuka katiba hiyo? Kwani CHADEMA hakuna Katiba; hata kabla hujakimbilia kwenye katiba ya nchi, hiyo katiba ya CHADEMA, ambayo ni 'fact' kuwa ipo, lakini viongozi wa chama hicho wametimiza matakwa yote kama inavyoagiza kila mara? Kuwepo kwa katiba hakuna maana ya yanayofanyika nje ya katiba hiyo ziwe 'facts'.
"Mazingira ya kisiasa" yatakupaje 'facts'; kwani kila kinachofanyika hata katika mazingira haya ya sasa huwezi kukuta mambo yasiyo eleweka na kuhitaji udadisi juu yake?" Mazungumzo ya Maridhiano, unazo 'facts'' zote juu yake?Ujio wa marehemu Lowassa ndani ya CHADEMA, unazo 'facts' zote?
Sijaja hapa kuwasema viongozi wa Chadema, mimi nimeandika ukweli ulio wazi kwetu sisi sote.
Hakuna kikao chochote cha Chadema kilichowahi kukaa ili kubariki harakati haramu za kina mdee wala hakuna kiongozi yoyote wa Chadema aliyewahi kusimamia kuwaunga mkono wale malaya ya kisiasa wa Covid 19.
Kama wewe unajua tofauti na hapo njoo hapa useme ili tujue.
 
Hiyo imani sijui anaitoa wapi kwa Hawa viongozi. Hao akina Mdee si ndio tulikuwa tunawaona Makamanda wa hatari, lakini wakafanya Mambo ya ajabu? Nimempa mfano wa Lowassa, alipokelewa na viongozi wachache na akapitishwa kugombea urais akiwa na wiki chache ndani ya chama. Je Lowassa alipokelewa bila viongozi kadhaa kupewa hela?

Kwa Sasa Lisu anapiga kelele kuwa kuna fedha chafu kwenye uchaguzi ndani ya chama, ni kundi gani limeshika hizo fedha chafu? Katika mazingira ya pesa chafu, anatoa wapi nguvu ya kutoa mishipa ya shingo?
Usichanganye mambo ili kulazimisha agenda yako.
Suala la Lowassa nilishakujibu.
Suala la Mdee usitake kupotosha, sote tunajua Mdee alikuwa mpambanaji haswaa ndani ya Chadema akamua kuwasaliti Chadema na watanzania wote, hivyo Mdee hana uhalali wowote wa kuipigania demokrasia wala kujipendekeza na Chadema, ni bora akajipendekeza huko CCM.

Suala la Lissu liko wazi, amesema kuna pesa zimeingizwa na CCM ili kuvuruga chaguzi ndani ya Chadema. Full stop.
Sasa wewe mwenzangu unayekuja kuimba blah blah za ngonjera za propaganda za CCM hapa unataka kutukuamini?
Una agenda gani special?
 
Kama mara zote fedha zimebadili misimamo ya makamanda, chama nk, ww hii nguvu ya kusema Kuna uimara wa misimamo ya chama unatoa wapi? Acha jazba, hii sio hoja ya jazba na weka akiba ya maneno.
 
Unachokijua wewe mwanachama wa CHADEMA siyo lazima ndiyo iwe 'fact' ya watu wengine kuichukulia kuwa kweli. Wewe umepofushwa na mahaba juu ya chama chako kiasi kwamba fikra zako hazikuruhusu tena kuona tofauti na wanayoona wengine.

Sikiliza, sisi wengine tunaandika haya hapa, siyo kwamba hatuwatakii mema CHADEMA, hata kama siyo wanachama wa chama hicho. Tunapenda sana, hata kesho, CHADEMA ingeweza kuwaondoa CCM, tutawashangilia.
Kinachotukatisha tamaa, ni watu wa aina yako mliolewa kabisa damu ya chama kiasi kwamba kuhoji chochote juu ya matendo ya baadhi ya viongozi wenu, mnatufanya tuwe maadui. Nyinyi ndio maadui wenyewe, siyo wa chama chenu tu, bali wa taifa hili.
Mnafanya kazi tuliyotegemea mngeweza kuifanya ionekane kuwa haiwezekani. Rudi nyuma kidogo, tulizana. Viongozi wenu siyo malaika. Wahojini ili muweze kuwa na uhakika, na kuwa na hizo 'facts' unazozizungumzia hapa. Kuwahoji viongozi siyo dhambi.
Ngoja niweke sawa.
Kwanza mimi sio mwanachama wa Chadema, na wala sijawahi kuwa mwanachama wa Chadema.
Lakini tangu harakati za siasa za Chadema dhidi ya uwendawazimu wa CCM katika kututesa watanzania kushika kasi mara nyingi (sio mara zote) nimekuwa nikiwaunga mkono chadema hapa JF.
Natetea ukweli uliowekwa wazi (Facts) kwetu sote na sio porojo, propaganda na ujinga wa kutengenezwa gizani.

Yaani unataka sisi hapa JF tuamini kuwa, uwepo wa covid 19 mpaka sasa ni matokeo ya ushawishi na nguvu ya kigogo fulani ndani ya Chadema. Sasa sisi tumekuuliza how? Who? Why? Bado huna majibu.
 
Kwa Sasa Lisu anapiga kelele kuwa kuna fedha chafu kwenye uchaguzi ndani ya chama, ni kundi gani limeshika hizo fedha chafu? Katika mazingira ya pesa chafu, anatoa wapi nguvu ya kutoa mishipa ya shingo?
Hizo fedha chafu ni mpango wa ccm na ni kawaida kwa ccm kutumia rushwa hata kwenye kila chaguzi zao za ndani..

Ni kweli kabisa mkuu, pesa na madaraka ndio vilitumika kuhamisha wanacdm wengi kwenda kuunga juhudi. Linapokuja suala la fedha huwezi kumuani mwanasiasa yoyote.
 
Kama mara zote fedha zimebadili misimamo ya makamanda, chama nk, ww hii nguvu ya kusema Kuna uimara wa misimamo ya chama unatoa wapi? Acha jazba, hii sio hoja ya jazba na weka akiba ya maneno.
Usinitoe kwenye hoja.
Mimi nimekwambia njoo na facts ili tukuelewe, sio hizo propaganda zenu za kihuni.

Tumesema, Mdee kisiasa alishakwisha (baada ya kununuliwa na CCM ili kuisaliti Chadema), hili linahitaji akili ili kuelewa?

Tumesema kuwa, Mdee na genge lake hawana nafasi tena ndani ya Chadema kwa kuwa Katiba ya Chadema haiwaruhusu na kisiasa wamekwisha, hili nalo linahitaji mjadala?

Tumesema Lowassa alihamia Chadema na kupewa kugombea urais kwa sababu katiba ya Chadema ilikuwa inamruhusu na nguvu yake ya kisiasa ilikuwa inambeba. Hili nalo ni jambo la ajabu?
 
Back
Top Bottom