Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

Nipo Moro malinyi huku shamban kilo ya Mchele NI elfu moja Tu Yan buku tunanunua kitaa ,
Mm sio mzoefu Sana wala sio mwenyeji WA malinyi ila naambiwa gunia moja la Mchele ushuru NI elf5 , mwanzo ilikuwa elf3 .. kwa sasa hakuna njia ya kufika malinyi kwa gari , mafuriko yameharibu Barabara zote za kuingia malinyi , kama utakuwa interested kuja Malinyi ambako mpunga ndo unazalishwa unaweza kufanya research yako binafsi

Bei gani kwa gunia mkuu?
 
Back
Top Bottom