Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Wanakulaumu tu ila nakuelewa sana nafasi uliopo.

Sasa sikia mi mdogo ako ila acha ufala.

Mfosi kufuta sms.

Mfosi kupokea simu.

Mfosi alale.

Mfosi ampikie mumewe.

Mfosi kukutana kuwe kwa mipango.

Mfosi vitu vingi ambavyo vitamfanya atimize majukumu kama mke wa mshkaji.

Ni namna pekee utamsaidia jamaa kama kweli unamuonea huruma.
 
Kama umeelekea hivi
 
Hakuna maamuz yatakayofanyika chini ya jua toka dunia kuumbwa yakawa fair kweny pande zote mbili

Ni lazima mmoja aumie kwa manufaa ya wengne

Ebana hebu onyesha uanaume wako fanya maamuz magum sio poaw mpka mchiz anatoa kauli kama hyo inamaana anajua ila ndo hvyo afanyaje sasa

Mkuu muache huyo mchepuko kuna maisha baada ya hiyo papuchi yake

Mwsho wa siku maisha lazima yaendelee
 
Hii kama imeandikwa na mwanaume mwenye utimamu wa akili basi ana chembechembe za uvulana
Toa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.
 
Mkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
Nakuelewa sana unachokieleza ndugu, nilikumbana na hilo, nililazimika kuhama eneo lile ikabaki mawasiliano tu, cha ajabu mama wa binti alikuwa yupo radhi ampe bintiye nauli anifuate niliko lakini nilikaza hasa( yataka ujasiri sana hasa HURUMA) yule mama alikuwa ananitumia picha za bintiye kakonda kwa mawazo na stress kwa madai ya kwamba mimi ndiye sababu ya yy kuikosa furaha ktk maisha yake. Ni story ndefu sana
 
Unamuhurumia mume wa huyo binti ila humhurumii mkeo wala hujihurumii wewe.

Hawa wapuuzi wachache ndio wamezifanya ndoa kuonekana takataka tu.
Jamani wale mlio na NDOA naongelea NDOA haswaa mko wapi mtoe elimu kwa hiki kizazi kinachopotea?
 
Daah hadi nimemuonea huruma huyo mwenye mke

Ila furahia tu kwa sasa lakini 40 yako itafika na utajuta
Huelewi mkuu unachosema,km ningekuwa na furaha kuna haja gani kuja kupost hapa!?? Toa tu ushauri....
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Unachofanya we mzee sio fair kabisa..muachie jamaa aenjoy ndoa yake basi. Mwisho wa siku utakuja kusababisha tatizo kubwa, utaharibu hata familia yako bure.
 
Toa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.
Sijakudharau ila nimedharau mfumo wako wa akili

Akili za wanaume haziko kama zako

Na ujue Mimi hii sio Id feki ni jina langu halisi

Mkuu ukishauriwa hapa bado moyo wako ndio wenye majibu sahihi
 
Wanakulaumu tu ila nakuelewa sana nafasi uliopo.

Sasa sikia mi mdogo ako ila acha ufala.

Mfosi kufuta sms.

Mfosi kupokea simu.

Mfosi alale.

Mfosi ampikie mumewe.

Mfosi kukutana kuwe kwa mipango.

Mfosi vitu vingi ambavyo vitamfanya atimize majukumu kama mke wa mshkaji.

Ni namna pekee utamsaidia jamaa kama kweli unamuonea huruma.
Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
 
Toa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.
Tatizo letu tukielezwa ukweli tunajifanya kukandia ila uongo ndio tunaupigia makofi, nilishajifunza sana hapa jf ukitaka wakupigie makofi sema uongo hapo sawa ila ukieleza ukweli utaambiwa kila aina ya maneno mabaya. Ndio watu tulivyo anyway
 
Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
Mama pia kivuruge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom