Nimfanyeje huyu binti wa mkoani? Kaniomba nimtumie nauli aje, baada ya kumtumia kanichenjia!

Wakuu nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya hatua za kuchukua juu ya huyu binti wa mkoani!
Ni binti ambaye sijawahi kuonana naye ila tulifahamiana kupitia mtandao maarufu wa facebook.
Sasa jana nikamchek kuwa nimemmiss na ningependa anitembelee, akasema nimtumie nauli.
Baada ya kumtumia nauli akachenji lugha mara ooh, naogopa, mara ooh tusogeze mbele.
Sasa kinachoniuma ni kwa nini kauli hizi anazitoa baada ya kulamba pesa yangu? Angesema hivyo basi huku karudisha pesa yangu.
Pesa hajarudisha na kanzu amenipiga.
Sasa wadau nimchukulie hatua gani huyu kilaza?
Alal badri ndio inamfaa huyo
 
Sasa huo utahira wako ndoo unakuja kuomba Masada kwetu? Kweli ww mwanaume umetimia au una kamdudu fulani? Ntaktumia no ya dadaangu umtumie alaf atakuja
 
Mnalalamikia makosa ya kimtandao ili hali nyie (victims) ndio mnawarahisishia Wahalifu kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom