Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,812
- 18,802
Kweli wanaume wa dar mnamatatizo nalo hili lakuomba ushauri kweli
Chips yai zimewamaliza nguvu za kiume mpaka zimehamia kumaliza akili

hahahaaaaingia PM unaweza na wewe kuvuta mpunga wa bure bure maana inaonekana bado hajajielewa nini kimemtokea mpk dakika hii
Yaani mtu hatujuani ananitumia nauli...hebu nitumie kama unawezamamaaaa! na wewe unataka utumiwe naul?
Duh afadhali umetuma nauli endelea kubembeleza huenda atakuja
Umeibiwa Kizembeee Halafu Utakuwa Bado Mgeni Katika Masuala Ya MapenzWakuu nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya hatua za kuchukua juu ya huyu binti wa mkoani!
Ni binti ambaye sijawahi kuonana naye ila tulifahamiana kupitia mtandao maarufu wa facebook.
Sasa jana nikamchek kuwa nimemmiss na ningependa anitembelee, akasema nimtumie nauli.
Baada ya kumtumia nauli akachenji lugha mara ooh, naogopa, mara ooh tusogeze mbele.
Sasa kinachoniuma ni kwa nini kauli hizi anazitoa baada ya kulamba pesa yangu? Angesema hivyo basi huku karudisha pesa yangu.
Pesa hajarudisha na kanzu amenipiga.
Sasa wadau nimchukulie hatua gani huyu kilaza?
Wakuu nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya hatua za kuchukua juu ya huyu binti wa mkoani!