Nimepokea shukrani zenu kwa dhati. Nami nawapongeza kwa kuonesha ushirikiano nyie wanawake wa 4

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,465
23,768
Nashuwakuru nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na kunisihi niwapatie Zawadi ya Mimba kama ambavyo nliahidi. Na pia nyie wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudia mara tatu ili mridhike kuwa imeingia kama mlivyotaka.

Kwa sasa Tuanze tu kusubiria matokeo. Kama msipokuwa mmepata basi nitajitahidi nipate muda niweze warudia tena. Tafadhali muwe na uvumilivu kidogo ratiba zinabana hatuwezi kuwa tunakazia kila siku kama mnavyotaka.

Kwa sasa jengeni subra please, ngojeni kwanza basi niwamalizie na wenzenu hawa waliobaki maana wanaona kama nimewa ignore. Tupo pamoja na JF yetu hii tunasonga mbele. Kumbukeni kuwa makini na msisimulie sana watu inaweza niletea shida
 
Heri matumbo yasiyozaa. Aisee, bichwa lisiĺo na akili ni mzigo sio tu kwa shingo, ila pia kwa mgongo, kifua, kiuno na miguu
 
Hao wanawake wema huo waliokutunuku wa kiwango Cha juu, ungetutajajia tuwape pongezi na tuandae ndimu , udongo /pemba, na tupampaz kwa wageni watarajiwa, umefeli kutotutajia bwaa shehe.
 
Back
Top Bottom