Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

Uponyaji na uzima

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
666
1,233
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia?

Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu.

Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran, syria, egypt, saudi arabia, uturuki nk hawamiliki silaha za nuclear.
 
Mkuu duniani miaka 70 iliyopita kompyuta ilikuwa kubwa kama chumba. Leo hii kompyuta inaingia mfuko wa suruali.

Teknolojia inabadilika siku hadi siku.
Mkuu hujanielewa,Ili kuzalisha silaha za Nuclear inahitaji materials kama uranium!Ndio maana nchi zinazogundua Zina madini hayo basi wanakutana na sheria za kimaraifa zinazowabana kwenye uuzaji wa material hiyo!Mtu huwezi kwenda tu sokoni na kununua uranium kama unavyonunua dhahabu!
So mtu hata kama ana utaalamu,kupata materials ni issue!
Lakini pia uhifadhi wake ni issue nyingine kwani Uranium au plutonium ni highly radioactive!
 
Kwamba Iran Hana uwezo wa hayo yote!!?..na USA na Israel wanapiga tu kelele za bure!!..Iraq 1990 alikua na hizo project
 
Mkuu hujanielewa,Ili kuzalisha silaha za Nuclear inahitaji materials kama uranium!Ndio maana nchi zinazogundua Zina madini hayo basi wanakutana na sheria za kimaraifa zinazowabana kwenye uuzaji wa material hiyo!Mtu huwezi kwenda tu sokoni na kununua uranium kama unavyonunua dhahabu!
So mtu hata kama ana utaalamu,kupata materials ni issue!
Lakini pia uhifadhi wake ni issue nyingine kwani Uranium au plutonium ni highly radioactive!
North Korea anazo nuclear weapons na amezipata bila kuzuiwa na hizo sheria za kimataifa. Black market zipo sana. Kuhusu utunzaji wa silaha kwasasa bado ni mziki mzito lakini miaka inayokuja inaweza isiwe kazi ngumu kiasi hicho.

Mwisho wa siku mimi napenda silaha zote za nyuklia duniani ziwe decommissioned. Ila wakati tunaelekea huko basi hawa extremists wote wasiwenazo.
 
Back
Top Bottom