Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

Optimists

JF-Expert Member
Oct 17, 2021
289
706
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.

Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.

Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.

Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
 
mkuu umeamua kupoteza muda tena na hela
basi sawa
elimu uliyo nayo inatosha sana
 
Una milioni 15 lakini hujui cha kufanya unaipeleka benki wakazungushe kwenye mikopo. Kigoma sijawahi kufika lakini ukiniambia biashara ngumu huko kigoma hakuna wafanyabiashara? Wao hawaoni huo ugumu unao uona? Hakuna kitu ambacho hakina changamoto mdogo wangu ni kupambana kwa kila fursa iliyopo mbele yako.
 
Wewe ni sawa na kenge, kenge yeye mvua ikianza kunyesha hukimbilia bwawani kujikinga asinyeshewe. Wewe unamtaji kwanini usifanye kazi na ukafanya biashara kwa mpigo? Wa u wanapenda mpira, wanapenda ngono wanapenda pombe wanapenda kujumuika pamoja mfano kunywa kahawa na hiki kitu ni universal hapo unakosa idea ya biashara kweli?
 
Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo.

Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza nikasome kitu gani ili nichomoke huku nimewaza vitu vitatu kwa uzoefu wenu naombeni muweze kunisaidia kuchakata, najua watanifanyia re-categorization lakini ni njia ya Mimi kufika ninapotaka kwenda nikimbie kidogo kwenye kushika chaki.

Nina passion kubwa ya kusoma information technology mkoa niliopo kuna uhaba mkubwa wa IT, halmashauri na mkoani pia, lakini ugumu unakuja kwenye ruhusa nimeanza kazi na degree, Nina miaka miwili kazini, then ruhusa wanatoa baada ya kukaa miaka 3 kazini, pia kwa sababu nimeanza na degree watanipa miaka 2 ya kwenda kusoma masters.

Plan A ya kwenda kusoma IT ikifeli, nimeona course ambazo open university wanatoa uwezo wa kusoma nikiwa kituo cha kazi ninao, nimewaza vitu viwili business administration (accounting) au bachelor of science in food nutrition and dietetics, nimejaribu kuchunguza OUT hawatoi bachelor ya I.T.
form six nilipata division 2 point 11. Vipi wakuu kwenu hipi itakua ni Bora zaidi?
kigoma kuna biashara sana.
1.dagaa wa kigoma, wana soko kubwa sana
2.nunua hayo masabuni ya kigoma -magwanji- peleka sirari hadi kenya
3.tafuta ingredient za kutengeneza magwanji wauzie wenye viwanda vya sabuni
4.uza vitenge, watu wanashobokea vitenge huko
5.kuna sabuni za burundi, fanya magendo ya hizo sabuni
 
Back
Top Bottom