Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,987
- 15,799
Utu uzimani sijawah kupata hao jamaa,ila chuo vilinipiga mara nyingi hadi nikawa najiuliza kama huko mbeleni nitaweza kuzalisha kweli maana nilisoma ukiugua sana inaweza athiri uwezo wa kuzalisha, gono ilikua inapiga hata ukivaa ndom badae nikawa nawaogopa madem sema hio ilikua kenya, huku bongo haijanisumbua sana ,madem wa kenya na uzungu mwingi ila gono kama loteBora enzi za uanafunzi, mambo yanakua mengi, utu uziman ni aibu sana.
Wanawake hawalalamiki ila huwa wana washwa washwa plus kiharufu cha samaki