Nikaribisheni BABU YENU

Mmmmhh!!! Sawa babu karibu sana, japo na sisi ni wakongwe kwa humu jf.
 
Ninaishi na wajukuu wangu, bibi yenu alishakufa 2017 na cancer, nipo pekee yangu ila wajukuu wananipa furaha sana,

Na mfanayakazi pia wakuni saidia
Waoo ila kama wewe ni Babu naunataka kampani vizuri sana mie nimefurahi kupata babu yangu maana Sina
 
Koh koh koh karibu Kibabu, kila nikiunganisha dots mmmh!!!
Anyway asante kwa likes za jana usiku, kibabu. Karibu JF
 
Koh koh koh karibu Kibabu, kila nikiunganisha dots mmmh!!!
Anyway asante kwa likes za jana usiku, kibabu. Karibu JF
Asante mjukuu, wangu 👐👐, napenda kugawa likes pia,

Hata nilivyokuwa twitter mimi ni mgawa likes tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom