Nifanyeje ili kutuliza akili na roho kumuacha huyu dada isiwepo?

Achana nae tafuta mwanamke utakayezaa nae watoto na sio mwenye watoto. Tazama topiki za kuhusu waliooa single mother utaelewa tunachosema.

Ulikuwa mjanja kwa ku-hit and run at your 20s umekuwa mkubwa umekuwa bwege la kutupwa jalalani
 
Mke atakuwa wako, atakupenda wewe, atakufurahisha wewe, atakuudhi wewe, akizingua atakuchosha wewe, kama ni msaliti atakusaliti wewe, etc. etc.
Do what you think is best for you, usifanye maamuzi kwa ushawishi wa kina anonymous. Siku ukija kulia hitojua umlaumu nani.

Kama unaona anakufaa, muoe, kama unaona hakufai, muache kila mmoja wenu atafute anaemfaa!
Umemaliza kila kitu hapa Dada,kumbe JF bado ina watu aisee,Big up kwako
Dr Lizzy
 
Fanya maamuzi yako mwenyewe hivi vichwa vya jf vina mambo mengi sana
Wapo waliooa single maza humu na wanaishi vizuri tu...ila kwa mkumbo watakushauri wewe usioe.
Halafu wewe ndyo unamjua vizuri mtu wako despite ya maneno ya waja na majirani zako
Usisikilize mtu kwenye issue ya kuoa fanya maamuzi mwenyewe..maana wewe ndiyo unaenda kuishi naye...na ukiona hakufai muache mapema usimpotezee muda dada wa watu muache akakutane na LOHL wake.
 
Kwahiyo Wakati unaanzisha mahusiano ulitegemea hayo mahusiano yatadumu milele?...

Mahusiano ya sasa jiandae kuachana muda wowote ule,..yani kama unataka kuuoa, oa..lakini Wakati ukifika wa kuachana, usiangalie nyuma, just move on......
Ni kweli, single mothers wengi sana ni changamoto, lakin sio wote pia, nani ajuaye kuwa huyo ni sahihi au lah!?

Kumbuka, unaweza oa asie single mother, na bado ukakumbana na jehanamu ndogo,......

NOTE: Achana na POROJO na PROPAGANDA za mapenzi ya kufa na kuzikana, ........now days jifunze kuacha, kuachwa, kuachana, kusahau na kumove on......

Kama unajisikia kuoa wewe OA.....
 
Mkuu, na wale ambao walibakwa ina maana walikuwa wanawapenda waliowabaka?

Kila mara tumekuwa tukiwaona single maza namna gani vipi lakini wanapopata wawapendao, akili huwakaa vizuri.

Ndugu yangu, usifuate maneno ya walio wengi humu, FUATA MOYO wako.
Mwanamke huwa anamzalia Mwanaume anaempenda tu especially kabla ya ndoa.

MTOTO NI KIUNGANISHI KATI YAO.

Kwanini ujibebeshe mizigo isiyokuwa na ulazima? Halafu tambua kuwa kulea mtoto ambae sio wako kuna changamoto sana.

PambanaZaidi/CottonandMo
 
Mkuu Huo Ushauri Nilipewa Na Mzee Moja Nilikutanae Maeneo Tumepiga Story Za Hapa Na Pale Akanipa Hiyo.

Kile Ulichomuonea Huruma Ukasema Acha Nikipotezee Ndicho Hicho Hicho Baadae Kitavuruga Ndoa.
Nimekuelewa mkuu. Nani ni kweli nina huruma fulani hivi kwake.
 
Walau ungekuwa 45+, kijana mdogo kabisa unaingiaje huko na aggregate ya 1:0?
Watu wanakutana wakiwa 0:0 na bado changamoto za ndoa ni nyingi, wewe unaanza na 1:0 ukiweka hizo nyingine ndoa itakuwa chungu sana. Oa single mom kama na wewe ni single dad, oa single mom kama upo over 45, zaidi ya hapo unajitafutia mashaka.
 
Ni

Ni kweli nalifahahamu hilo kabila la hapo kaskazini lenye tabia hiyo, ambalo ni wale wenzetu wenye jina lenye asili ya nchi za nje. By the way tabia ya kabila fulani haisadifu sana msimamo wa tabia ya mtu. Wewe ndiye unayemjua vizuri mtu wako tabia yake, unahisi ni mtu mwenye mapepe kwamba anaweza akawa na tabia kama hiyo kweli?
Kama ni mwaminifu na mnaaminiana, mnapendana na unahisi kwamba hawezi akabadilika ufuate moyo wako.

Mimi ni mhanga pia wa mwanamke wa hilo kabila, tulipendana sana kiasi cha kupanga kumuoa lakini kabla hatujafika huko tulikuja kuachana kufuatia sababu hiyohiyo ya kugawa huko na mimba akaipatia hukohuko.

Kama sometimes anaonekana ana mapepe na anaweza akagawa drop it, not worth it!!
Ana mtoto tayari. Anaonekana ni mtu ambae kwa sasa anataka ku settle. Ratiba yake Iko tight sana na akitoka jioni tunakutana kuruka na wengine sidhani.
 
Fanya maamuzi yako mwenyewe hivi vichwa vya jf vina mambo mengi sana
Wapo waliooa single maza humu na wanaishi vizuri tu...ila kwa mkumbo watakushauri wewe usioe.
Halafu wewe ndyo unamjua vizuri mtu wako despite ya maneno ya waja na majirani zako
Usisikilize mtu kwenye issue ya kuoa fanya maamuzi mwenyewe..maana wewe ndiyo unaenda kuishi naye...na ukiona hakufai muache mapema usimpotezee muda dada wa watu muache akakutane na LOHL wake.
Nikiamua kuwa sitamuoa nitamwambia ukweli mapema.
 
Kwahiyo Wakati unaanzisha mahusiano ulitegemea hayo mahusiano yatadumu milele?...

Mahusiano ya sasa jiandae kuachana muda wowote ule,..yani kama unataka kuuoa, oa..lakini Wakati ukifika wa kuachana, usiangalie nyuma, just move on......
Ni kweli, single mothers wengi sana ni changamoto, lakin sio wote pia, nani ajuaye kuwa huyo ni sahihi au lah!?

Kumbuka, unaweza oa asie single mother, na bado ukakumbana na jehanamu ndogo,......

NOTE: Achana na POROJO na PROPAGANDA za mapenzi ya kufa na kuzikana, ........now days jifunze kuacha, kuachwa, kuachana, kusahau na kumove on......

Kama unajisikia kuoa wewe OA.....
Nimekuelewa mkuu. Out of all comments mawazo yako yamenigusa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom