Ni sahihi kuwaadhibu wanaokula hadharani Zanzibar. Tuheshimu imani za watu

Tatizo kubwa hawa watu ni kukosa uadilifu ukiachana na mengine makubwa , Waislamu hata wafanye kipi hakuna jema kwa Waislamu kabla ya matukio ya Zanzibar wamekuwa humu wakijaza vinyuzi uchwara vya kila aina kuhusu uislamu hata kusiwe na kitu lazima Uislamu wafosi topic yeyote ili kuongelea negatively against Islam ....
Ishu inakuzwa kuliko uhalisia ,ukichukulia kisiasa hao viongozi wanasambaza kitu ambacho hakina uhalisia.

Mfano kule x mtu anatweet kutukana uislamu jambo limetokea zenji ila linakuja kwa waislamu wote.

Zipo video walevi wanachapwa huko kaskazini mtu mzima kabisa kisa kulewa ,ila wanasema ni sheria za kijijini kwao.
 
Muislam anayetaka haki za kuabudu kwa uhuru na amani kwenye nchi zisizo za kiislam, huyo huyo anapinga uhuru wa watu wengine kuabudu kwenye nchi za kiislam.
 
Huko huko juzi maama ntilie aliyekua anajipikilisha msosi ndani ya nyumba yake alikamatwa na polisi.

Ukipika ndani unakamatwa ukila nje unakamatwa. Ukisimama nchale ,ukichuchumaa nchale ,ukikaa nchalee
Kuna taratibu zao zenji sisi watanzania bara, sjui tunalalama nini, hawa mama ntilie taratibu zinawataka mwezi huu mchana shughuli zisimame, unless wakajisajili kama zile sehemu za wageni, na hizi kelele kubwa zikitoka kwa wazenji ndo zitaleta maana, otherwise ni normal chit-chat ya sisi wabara tu
 
Kwani Zanzibar ni nchi ya kiislamu? Uislamu wa Zanzibar ni wa mwezi wa Ramadhani tu

Wazanzibari huwa waislamu mwezi wa Ramadhani tu
Nchi ya kiislamu kwa sheria zao wanafuata Uislamu ...Bakora zinataendela kwa vile utaratibu unajulikana
 
Mnaweza kudhibiti matamanio lakini mkashindwa kujikaza na kuruhusu ushoga kupitia papa? Damn!!
Muislamu hata akioa anafungia wake zake ndani na funguo sababu anawajua kuwa wanawake wa Kiislam kudhibiti matamanio sifuri muda wowote wakitoka watapanulia mapaja wanaume mitaani.Sasa dini gani mtu hawezi dhibiti hata hamu yake ya chakula akiwa anafunga akimuona mwingine anakula mbele yake anaehuka kwa udenda wa hamu ya chakula na kufoka kuwa anataka kumfungulisha funga yake!!!

Dini kituko hii eti funga hoteli zote na sehemu za chakula ndipo mimi nifunge funga ya Ramadhani what?????? Loooo
 
Naunga mkono hoja , madai Yao kuwa wapo wengi yanaanza kutia mashaka maana sijawahi kuona Majority wawe weak kiasi hiki na kulalama kila siku kuwa wanaonewa na Minority.

kama kweli wao ni wengi kwanini huwa wanakiogopa kipengele cha dini kwenye Sensa?
 
Hizo taratibu mbona hata wazenji wenyewe wanazishangaa mfano fatma karume

Pia waliojisajili Zile sehemu za kigeni nao wamepigwa faini hapo utaleta sababu ipi tena!!!?
Kuna taratibu zao zenji sisi watanzania bara, sjui tunalalama nini, hawa mama ntilie taratibu zinawataka mwezi huu mchana shughuli zisimame, unless wakajisajili kama zile sehemu za wageni, na hizi kelele kubwa zikitoka kwa wazenji ndo zitaleta maana, otherwise ni normal chit-chat ya sisi wabara tu
 
Kwanini mtu akijiunga na hii dini kama kichwani inakuwa empty beaker

Yaani mtu hajui kuwa kufunga ni ibada wala siyo fujo
Utaona mwezi Ramadan wao wanawaza kufanya fujo, udhalilishaji, uhuni na ugaidi

Hii dini ina mambo mazuri mno binafsi huwa nayakubali sijui hawa mahuni na magaidi wanatokaga wapi kwenye uislam

Badala mtu afunge ajali ibada yake kwa Allah yeye yupo kufuatilia kaya gani na nani wanakula mchana awadhalilishe au afanye Ugaidi kama huko Russia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makafiri juzi hapa walikubali kile chuo kupinga waislamu kuvaa hijab, tukasema ikiwa mimi ni mmoja wapo kwamba wafuate taratibu za chuo husika.

Kule France walikata hijab, tukasema ni taratibu.

Wakija zenji ni kipondo tu shenzi kabisa!!Hawa ni wakuchapa shenzi kabisa!!
Kwani Zanzibar ni nchi ya kiislam?
 
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Makafiri juzi hapa walikubali kile chuo kupinga waislamu kuvaa hijab, tukasema ikiwa mimi ni mmoja wapo kwamba wafuate taratibu za chuo husika.

Kule France walikata hijab, tukasema ni taratibu.

Wakija zenji ni kipondo tu shenzi kabisa!!Hawa ni wakuchapa shenzi kabisa!!
Watu wanataka kuondoa utaratibu uliopo miaka na miaka. Chokochoko zimekuwa nyingi...wanataka kuhakikisha wanabadili tamaduni zote za kizanzibari maana zipo ambazo tayari washafanikiwa kuziondoa na baadhi zinaelekea kupotea kabisa
 
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
Me ni Mtanzania kwanini Zanzibar wanafanya uhuni kwa kichaka cha dini?
Mbona uislam tunauheshimu una mafundisho mazuri mazuri na yana logic lakini hili la udhalilishaji na kujichukulia sheria mkonnoni ni uhuni??
Waislamu na wasio waislamu ni watu wanaishi pamoja na ndugu

Mufti akamee huu uhuni na uchokozi huko Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu inakuzwa kuliko uhalisia ,ukichukulia kisiasa hao viongozi wanasambaza kitu ambacho hakina uhalisia.

Mfano kule x mtu anatweet kutukana uislamu jambo limetokea zenji ila linakuja kwa waislamu wote.

Zipo video walevi wanachapwa huko kaskazini mtu mzima kabisa kisa kulewa ,ila wanasema ni sheria za kijijini kwao.
Kuna clip niliiona huko bara kijijini jamaa anampiga mikwaju mschana kavaa nusu uchi.
Watu wanapenda fujo tu. Ukitaka kujua kuwa watu wanatafuta sababu ya kutukana uislam angalia hio video inojadiliwa ya miaka kibao nyuma...mradi watu walete matafaruku tu
 
Back
Top Bottom