Ni sahihi kuwaadhibu wanaokula hadharani Zanzibar. Tuheshimu imani za watu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,073
18,100
Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe

Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?

ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?

Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili

Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?

Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.

Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!

Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..

Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa. Kama umeshindwa kuvumilia rudi huku bara tu na kama unaona wanaonewa mule visiwani panda boti uende ukawatete na ukale mchana uone moto wake....TUHESHIMIANE!!
 
Siamini katka kuzikimbia changamoto ila naamini ktk kuzikabili changamoto. Nilifikiri watu wangejipima zaidi Imani yao kwa kuzikabili hizo changamoto. Hata shule tunapimwa uelewa kwa kupatiwa mitihani.
 
Kosa la Zanzibar ni moja, Haijatangazwa kuwa ni nchi ya Kiislamu (Islamic State) so ni koloni la tanganyika. Wanaokula mchana kisheria hawana makosa.

Alafu Mungu wa kweli hatetewi bali anajitetea mwenyewe kwa njia anazozijua (Kiroho).
 
Kama huna elimu dunia,halafu ukawa masking,halafu ukapelekaewa dini walai kila rangi utaionaaaaaa
 
Nyinyi si mpo wengi hapa Tanzania ,mna pesa ,elimu na influence katika maamuzi ya inchi na sekta nyeti sasa kwa nini kila siku mmekuwa watu wa kulalamika hapa Jf ?

Nyuzi karibia 50 wiki yote topic Moja wakati tulikubaliana kulalamika ni kwa Waislamu sababu wanahisi ni watu wa kuonewa na Wana complex inferiority ?

Nashauri uongozi wa Jf uanzishe jukwaa maalumu humo Wagalatia mujaze mapovu yenu pamoja na malalamiko mengine mara mmekuwa watu wa kulalama sana ,mara Rais anauza nchi kwa Waarabu ,mara Azam Wana udini , Simba & Yanga wanapendelea Waislamu , Adhana n.k
 
Waislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la dunia

Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu

Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha ukijionyesha onyesha mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya kuanzia mawazo hadi vitendo waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu

Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri

Sasa mwanamke akionesha kapaja tu au kabega kake wazi kidume cha kiislamu kadude kake katikati ya mapaja kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala wabakuwa fresh tu

Biblia inatamka wazi Mathayo 6:16-18

[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso

[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.

KUFUNGA SIO MATANGAZO
 
Acheni porojo kutetea uovu, hata hao wanaochapwa kwa kula mchana wana imani na dini zao zinazopaswa kuheshimiwa na wengine. Si vema sana kutaka imani yako itukuzwe wakati hilo ni suala la kibinafsi ndani ya moyo wa mtu binafsi.
 
Makafiri juzi hapa walikubali kile chuo kupinga waislamu kuvaa hijab, tukasema ikiwa mimi ni mmoja wapo kwamba wafuate taratibu za chuo husika.

Kule France walikata hijab, tukasema ni taratibu.

Wakija zenji ni kipondo tu shenzi kabisa!!Hawa ni wakuchapa shenzi kabisa!!
Tatizo kubwa hawa watu ni kukosa uadilifu ukiachana na mengine makubwa , Waislamu hata wafanye kipi hakuna jema kwa Waislamu kabla ya matukio ya Zanzibar wamekuwa humu wakijaza vinyuzi uchwara vya kila aina kuhusu uislamu hata kusiwe na kitu lazima Uislamu wafosi topic yeyote ili kuongelea negatively against Islam ....
 
Makafiri juzi hapa walikubali kile chuo kupinga waislamu kuvaa hijab, tukasema ikiwa mimi ni mmoja wapo kwamba wafuate taratibu za chuo husika.

Kule France walikata hijab, tukasema ni taratibu.

Wakija zenji ni kipondo tu shenzi kabisa!!Hawa ni wakuchapa shenzi kabisa!!
Safi , na kwa kukazia paragraph ya kwanza juhudi ziongezwe zaidi kwa yale tulijadili jana
 
Kosa la Zanzibar ni moja, Haijatangazwa kuwa ni nchi ya Kiislamu (Islamic State) so ni koloni la tanganyika. Wanaokula mchana kisheria hawana makosa.

Alafu Mungu wa kweli hatetewi bali anajitetea mwenyewe kwa njia anazozijua (Kiroho).
Ingelikua ndo hivyo mbona huko kwenu mfupa wa imani umewashinda kiasi kwamba hadi papa wenu anaruhusu yale mambo?
 
Makafiri juzi hapa walikubali kile chuo kupinga waislamu kuvaa hijab, tukasema ikiwa mimi ni mmoja wapo kwamba wafuate taratibu za chuo husika.

Kule France walikata hijab, tukasema ni taratibu.

Wakija zenji ni kipondo tu shenzi kabisa!!Hawa ni wakuchapa shenzi kabisa!!
Kwani Zanzibar ni nchi ya kiislamu? Uislamu wa Zanzibar ni wa mwezi wa Ramadhani tu

Wazanzibari huwa waislamu mwezi wa Ramadhani tu
 
Nyinyi si mpo wengi hapa Tanzania ,mna pesa ,elimu na influence katika maamuzi ya inchi na sekta nyeti sasa kwa nini kila siku mmekuwa watu wa kulalamika hapa Jf ?

Nyuzi karibia 50 wiki yote topic Moja wakati tulikubaliana kulalamika ni kwa Waislamu sababu wanahisi ni watu wa kuonewa na Wana complex inferiority ?

Nashauri uongozi wa Jf uanzishe jukwaa maalumu humo Wagalatia mujaze mapovu yenu pamoja na malalamiko mengine mara mmekuwa watu wa kulalama sana ,mara Rais anauza nchi kwa Waarabu ,mara Azam Wana udini , Simba & Yanga wanapendelea Waislamu , Adhana n.k
Wajinga hao
 
Huko huko juzi maama ntilie aliyekua anajipikilisha msosi ndani ya nyumba yake alikamatwa na polisi.

Ukipika ndani unakamatwa ukila nje unakamatwa. Ukisimama nchale ,ukichuchumaa nchale ,ukikaa nchalee
 
Waislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la dunia

Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu

Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha ukijionyesha onyesha mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya kuanzia mawazo hadi vitendo waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu

Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri

Sasa mwanamke akionesha kapaja tu au kabega kake wazi kidume cha kiislamu kadude kake katikati ya mapaja kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala wabakuwa fresh tu

Biblia inatamka wazi Mathayo 6:16-18

[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso

[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.

KUFUNGA SIO MATANGAZO
Mnaweza kudhibiti matamanio lakini mkashindwa kujikaza na kuruhusu ushoga kupitia papa? Damn!!
 
Back
Top Bottom