Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Chuki binafsi inisaidie nini kiongozi, shida walimu wengi hawana skills za ziada wao wanategemea mwisho wa mwezi tu ndio mana hawaendelei
Skillz za ziada kama vipi ?

Basic computer skillz word, PowerPoint,excel,publisher,spss au kitu gani.

Kama ni hizi wengi wao wanazo. Wanafunfishwa Tehama,ICT huko chuo.

Skillz gani unazozungumzia wewe.!?

Ualimu ni fani ya ubingwa(expertise) maana unategemewa kufanya transmission of knowledge ,skills, attitudes and experience kwa wanafunzi wako.lazima uwe nondo kufanikishs hilo pengine hii ni fursa inayowanyima kujifunza mengineyo Yes huwezi kuja jack of all trades ukwa mwalimu mtabe/bingwa utakuwa Master of none.

Labda financial management skillz..hizi sio lazima uzipate darasa ziko njia nyingi za kujifunza pia kupitia experience (experience is the best teacher)

Skillz unazomaanisha wewe!? Kuto.mba wanawake wa kilabuni au kutembea na wake za watu!?eti dogo skillz zipi!?
 
We una stress zako huko umejisikia kuzimalizia kwa walimu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hao hao unao waita leo primitive ndio walio kufanya na wewe ukajua kuwaita ni primitive leo. unless uniambie wewe hukufundishwa na walimu bali ulifundishwa na mabaharia,

acheni kudharau watu walio wapa mwanga wewe huna natofauti na anaye mtukana mamaake kwa kupatukana pale alipo tokea.
Aya yako ya mwisho ndo jibu la huyu mjaa laana
Halafu inaonekana jamaa alitanguliza guu badala ya fuvu.
 
Walimu ndio waamuzi wa mustakabari wa hii nchi.

Mada yako haijakaa sawa.

Ni walimu wa daraja gani ndio wanadharauliwa ?

Wahadhiri wa vyuo vikuu nao wanadharauliwa pia ?

Maana nao ni Walimu pia.
 
Uliza udom kozi nzito ni ipi.. Hii kozi isikie tu, pale udom ndokozi ngumu nenda kaulize
Kwa majibu haya itoshe tu kusema wewe ni kijana wa hovyo uliyebahatika kwenda Chuo ila hukuelimika. Na kama ulipewa mkopo na Serikali hii ndio hasara serikali imepata.
Umeulizwa swali dogo tu angalia ulivyopuyanga.
 
Moderator, muokoeni huyu kijana kwa kuufunga tu huu uzi. Maana amechokoza mzinga wa nyuki (Walimu)! Sasa wanamshambulia kutoka kila upande. Tena kwa hoja zilizoshiba kweli kweli, huku yeye akibakia tu kubwabwaja!

Hana mtu wa kumtia moyo! Hakika amebakia peke yake! Na kwa haraka haraka, naona pumzi yake inaelekea kukata. Msaidieni tafadhali.
Kwa niaba ya Moderators wenzangu nasema "Amelikoroga na alinywe" 😂
 
Mkuu me ni muhusika kabisa 200% ila nakiri kabisa kwa nchi yetu ulichokiongea ni Fact kabisaaaa hata mimi mwenyewe hili suala linanikereketa sana ingawa bado sijaingia kwenye field yenyewe ila ni dhairi kwamba Umaskin unanuka vbaya mno kwenye hii fani ya Ualimu ktk nchi yetu.
 
Cha kushangaza mtoa mada ulipokuwa mtoto ukienda skuli ukijinyea na kujikojolea..huku mzazi wako hayupo , mtu aliyekuhudumia katika fedhea yako zaidi akakufundsha kusoma na kuandika abc nk...umekua mkubwa umesahau ulikotoka. Umeamua kusahau yote.na umeamua kumtusi ama kumdhihaki Tichaoko..uzi huu unadhalilisha walimu waliotutetea kwa nguvu kubwa huku wakipata vipato viduchu. Leo mumekua wakubwa wajinga Akili debe tupu kabsaaa. Mnaandika uharu humu .
 
Sababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...

Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...

Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Kipato kidogo kwa sababu wao wenyewe wameshindwa kujitambua, wengi wao hata huo ualimu wameupata kimagumashi kwa kuuganishaunganisha, hawana muamko kama elimu wanayoitoa darasani
 
Mkuu me ni muhusika kabisa 200% ila nakiri kabisa kwa nchi yetu ulichokiongea ni Fact kabisaaaa hata mimi mwenyewe hili suala linanikereketa sana ingawa bado sijaingia kwenye field yenyewe ila ni dhairi kwamba Umaskin unanuka vbaya mno kwenye hii fani ya Ualimu ktk nchi yetu.
Acha nikae kimya, naonekana nawafanyia uchuro
 
Back
Top Bottom