Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Nenda na ATCL hadi Harare Kwa dollar 280 hivi then pale utachukua flight nyingine hadi South Africa Kwa dollar 175 hivi

Kurudi pia utatumia njia hiyo hiyo hivyo kujikuta ukitumia nauli Chini ya dollar 800 kwenda na kurudi

Safari njema kwenye utafutaji wa maisha 🤝
 
Wenye hela hawaulizii humu
Ingia site za ndege twaap
Angalia price shwaa
Press booking waaang
Wait fo ze day au kama wewe ndo gold class siku hiyo hiyo sepa zako waaap😁🏃🏽‍♂️
Mtoa uzi kasema hana hela ndo maana anataka cheap ticket, wewe na umaskini wako ushakuja kumvamia. Tumieni akili zenu ziwasaidie, msikae kama waganga wa kienyeji
 
Nenda na ATCL hadi Harare Kwa dollar 280 hivi then pale utachukua flight nyingine hadi South Africa Kwa dollar 175 hivi

Kurudi pia utatumia njia hiyo hiyo hivyo kujikuta ukitumia nauli Chini ya dollar 800 kwenda na kurudi

Safari njema kwenye utafutaji wa maisha 🤝
Hesabu tu za kawaida hapo anatumia usd 450 kwenda tu, kwenda na kurudi 900 akati zipo ndege za usd 800 kwenda na kurudi. Sijui akili huwa mmeziweka kwenye matako
 
Hesabu tu za kawaida hapo anatumia usd 450 kwenda tu, kwenda na kurudi 900 akati zipo ndege za usd 800 kwenda na kurudi. Sijui akili huwa mmeziweka kwenye matako
Hakukuwa na haja ya kuandika Lugha uliyoitumia, maana Kwa watu waliostaarabika huwa ni ya kuudhi.

Hizo gharama nilizoandika ni gharama ya leo iwapo utachukua flight

Gharama za nauli ya ndege hutegemea ni lini unasafiri

Kwahiyo anaweza kusafiri Leo kwenda akatumia gharama kubwa ya dollar 450 unazosema lakini kurudi akatumia gharama pungufu maana tiketi yake itasoma wiki mbili ama Moja ijayo.

Sio vibaya kujifunza kujibiana kiustaarabu Mkuu wangu

Amani na idumu 🥂
 
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05

Kiongozi
Cape town ni mbali na gharama zake zipo juu
Ndege yenye bei nafuu nafikiri kuliko zote ni Ethiopian (ET)
Ungesema unaenda Johannesburg ndipo unaweza kwenda kwa bei poa kwani ni karibu
 
Back
Top Bottom