Maumivu ambayo umeona ni sh ngapi?Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
KQ 889 USD (return)Maumivu ambayo umeona ni sh ngapi?
safari ya siku 5? (Dar-Joburg)Basi la kampuni ya Mkombe linapiga ruti Dar Sauzi
Kwani cheap ni sh ngapi? Kama unalinganisha na basi hakuna ndege cheap.Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Utapanda nini kama hutaki KQ? Kama unataka safari kweli ni KQ ya kutoka JNIA usiku, kisha unaungia JKIA.Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Umeua mkuuWenye hela hawaulizii humu
Ingia site za ndege twaap
Angalia price shwaa
Press booking waaang
Wait fo ze day au kama wewe ndo gold class siku hiyo hiyo sepa zako waaap😁🏃🏽♂️
Mtajuaje sasa kama na yeye anaenda Sauz tena kwa pipa...?Wenye hela hawaulizii humu
Ingia site za ndege twaap
Angalia price shwaa
Press booking waaang
Wait fo ze day au kama wewe ndo gold class siku hiyo hiyo sepa zako waaap😁🏃🏽♂️