Nauza laptop

Mr Geniuz Km

Member
Aug 27, 2017
14
14
~Husika na Somo tajwa

Aina: DELL
Model: 630
RAM: 3GB
HDD: 80GB
Display: 13inch
USB PORT: 4
HDMI: 1
VGA: 1
JACK: 3.5mm
Wireless: yes
Na sifa nyinginezo kibao '
~Price 250k ( 250,000 )
NB: Inafaa kwa matumizi yote ' ipo katika hali nzuri as New
Na haina tatizo lolote

Mawasiliano
0766138288
Ketsexpert@gmail.com

pia tunaweza fanya exchange na mwenye iphone 6 plus 64GB /7 au iphone 5s 32GB
 
Haifai kwa matumizi yote , mfano mimi ni mtu wa gamming sana na pia napenda ku edit videos kwa kutumia adobe premier na the rest (issue za rendering) u adhani kama haujaweka cpu na switchable graphics card ntajuaje kama inafaa?

Kiufupi ninataka kujua cpu , na gpu(ukiacha intel hd graphics unitajie kuanzia kampuni either AMD au NVIDIA pia usisahau uwezo wake kuanzia generation, nunber of threads , number of cores na visual ram ) kisha nikijiridhisha tutaongea biashara.
 
Ukipata majibu uniamshe mkuu
 
Mkuu pia mi ni Computer science Eng .
~hapo ni kwamba sikutoa maelezo kwa upana zaidi

ni inbox mawasiliano yako ni dadavue kiundani zaidi mkuu ikiwa unaihitaji haswa.
 
Ukipata majibu uniamshe mkuu

Mkuu alichouliza ni swali rahisi tu ' wala si kwamba halijibiki .
Ni vile sikuwa active tu.
~nilitoa maelezo mafupi ili muhitaji haswa akiuliza swali nimdadavulie kwa maelezo binafsi , lengo ikiwa ni kuto toa ufafanuzi kwa asie na uhitaji thabiti ...
 
Kwenye picha ulizorusha mbona hapo kwenye keyboard button 1 haipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom