Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu

Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake.

Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this

Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo unanishawishi nimcheki hata kwa kumtext lakini akili inakataa kabisa na kunambia uthithubutu.

Sasa wote tukiendekeza ego nani ataanza kumcheki mwenzake?

Daah nipo dilemma mwenzenu

Mapenzi mapenzi mapenzi

Ni maumivu tu badala ya furaha

Nakufa kijerumani na tai shingoni

Anyway kumpenda nampenda nikizidiwa nitamcheki
Endelea kujifanya shujaa, utakuta kidume mwingine ameishapita nae na kujimilikisha.
 
Mkuu mimi mwenyewe nime chuniana na demu kisa nilimwambia ukweli kwa kwanjia ya kumuuliza, nilimuumliza mbona nikikuhaidi nitakupata pesa unakuwa wa kwanza kuni charisma na kunipigia simu na nikisha kupa pesa tu unakuwa upokei simu zangu wala kijibu sms zangu za salamu, na nikamwambia nahisi wewe una mambo mengi. Aiingii akilini kwenye swala la pesa unakuwa unanisumbua kwa kunitumia sms na kunipigia kunikumbushia pesa niliyokwambia nitakutumia na nikishatuma tu una ninyamazia ata kujib sms.
Mademu wengne ni shida,unachapa halafu unapotea!!!!
 
Back
Top Bottom