Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

Pia jibu swali la mdau, tunaambiwa zenji mtanganyika haruhusiwi kununua kiwanja, ww uliwezaje?

Ushauri wangu hiyo nyumba ifanye apartment, wakodshie wageni watalii, jinsi ya kuwapata najua unajua maana umekuwa nao. Tumia gari lako kama usafiri wa wageni poa kuwaleta na kuwatoa kwenye apartment yako.
 
Hawezi kujibu
 
Penye rizki hapakosi fitna wahenga walisema
Vipi, kuhusu wewe, hukuwafanyia wenzako fitina wakati bado upo na bosi kazi aliyekupenda?? Je, wewe ni malaika??
lkn kadri muda ulivyokuwa unaenda nilianza kuona visa na mikasa, ubaguzi wa wazi wazi dhidi yangu! Mtu anakuchokoza kwa kukuita kafiri kisa tu muda wa kuswali umefika na wewe hujaenda kuswali ama hujasitisha huduma,
Haya bado ni maelezo ya upande mmoja, tunaita majungu na fitina! Yaani unataka uonewe huruma na jamii hata kama umekosea! Umeingiza mpaka udini!
nikanunua Alphard pia nikampa mtu aifanye private hire na nikawa nampa wageni wa pale kazini wanaotaka usafiri kwa siri kubwa maana hairuhusiwi taasisi ina magari yake pia inakodisha.
Sasa hapa unamlaumu nani? Ulitegemea taasisi isingefahamu?? Halafu inaonekana kama ulianza kuvimba a.k.a kuonyesha majivuno, kiburi na dharau!
 
Vipi, kuhusu wewe, hukuwafanyia wenzako fitina wakati bado upo na bosi kazi aliyekupenda?? Je, wewe ni malaika??

Haya bado ni maelezo ya upande mmoja, tunaita majungu na fitina! Yaani unataka uonewe huruma na jamii hata kama umekosea! Umeingiza mpaka udini!

Sasa hapa unamlaumu nani? Ulitegemea taasisi isingefahamu?? Halafu inaonekana kama ulianza kuvimba a.k.a kuonyesha majivuno, kiburi na dharau!
Tafuta kijiwe cha kahawa kaanzishe mada za Simba na yanga ama habari za mange mixer chadema na ccm utapta wa kubishana nae. Kwangu sio mahala pake
 
Hela zote usiweke kwenye nyumba za kupangisha, km ni fremu ya kupangisha nafikiri ni bora zaidi

Ila pia usiwe na haraka, bora uuze then uweke hela UTT, wakati unafikiria biashara nzuri itakayolipa.

Kila la heri.
Asante mkuu kwa ushauri
 
Asante kwa kunipa uzoefu wako mkuu
Yani nasikia kilo ya mbuzi ni 20000 ila wenye mabucha wananunua kwako elfu 11. Angalia Cha kufanya huku huku hata saplai mahitaji kwa mahoteli hasa matunda na vegetables. Ukiwa supplier unaishi vizuri mkuu sio bara kule kwenye fursa utakuja kuomba kazi yoyote humuhumu jf walahi
 
Pia jibu swali la mdau, tunaambiwa zenji mtanganyika haruhusiwi kununua kiwanja, ww uliwezaje?

Ushauri wangu hiyo nyumba ifanye apartment, wakodshie wageni watalii, jinsi ya kuwapata najua unajua maana umekuwa nao. Tumia gari lako kama usafiri wa wageni poa kuwaleta na kuwatoa kwenye apartment yako.
Wako watanganyika wengi sana wanamiliki ardhi na biashara kubwa hapa Unguja. Asante pia kwa ushauri
 
Back
Top Bottom