Ushauri: Nataka kuanza kuwa chawa ,uchawa unalipa

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,648
16,334
Jana nilkuwa sehemu nimetuliaa nasubiria mechi ya yanga bas napiga zangu bia ya killimanjaro mdg mdg

Basi akafika dad mmoja hivi wa makamu wako na rafiki zake wawili wazuri Kweli japo umri wao umenda kdg Ni Hawa wanaitwa mashangazi wakaomba wake kwenye meza nilioko mm

Kumbe Huyu dada amezaliwa kijij kwetu ila Ni muda mrefu nilikuwa mdogo pindi anaondoka kwenda kutafuta maisha mjni hvyo Bado namkumbuka ila yey hanikumbuki ila anawafahamu baadhi ya ndugu zangu ,Basi wakaa pale wakaagiza vinywaji vyao na mm nikaongezewa bia jumla zikawa sita mezani nikawanapiga huku namkumbusha watu wa kule Basi akafurahi sana na mm nikawa namsifia sana kuwa unajali Sana familia yako hat wadogo zako wako vzr sna wewe Ni mtu wa maana sna sna Basi akawa anafurahi sana nikaagiziwa kuku nusu ,namm nikaanza kuchochea kuni Zaid Hadi mechi inaanza Wala sina muda namjaza upepo tu

Saa nne wakataka kuondoka na mm nika wa escort had kweny gari lao Aina ya Forester new model kufikaa nashangaaa akaniita pembeni akaniambia " mdogo wangu umenifanya leo nifurahi mbele za rafiki zangu nashukuru sana sana umekomesha " akazama kwenye mkoba wake akaibuka na elf 50k na kuniachia namba yake na kunielekeza ofice yake iliko

Ki ukweli nimefurahi mm kupata pesa za bila kutumia nguvu kubwa just kusifiaa tu

Nimeamini watu wengi wanapenda kusifiwa mno Hakuna anataka kupewa sifa mbaya

Sasa nataka niwe chawa rasmi kwamba Ni kusifu na kuabudu hakuna namna naweza pata pesa kirahisi
Nitatafutaaa namba za mwijaku,baba level anipe mbinu ili niboreshe Zaid uchawa na Kisha nipige mpungaa
 
Asilimia kubwa ya chawa mwisho wa siku wanaishia kuwa upinde. Kuwa makini mkuu.
 
Machawa wengi wamepitia mazito sana huwezi amini..

angalia mkuu wa mkoa wa Arusha, alifikia hatua hadi ya kumlamba miguu Riz One kipindi awamu ya 4..

Wengine hadi wanafumuliwa marinda..

Muulize Pdidy kule mambele alichowafanya kina MeekMil just to gain fame..

Free is Expensive in some ways
 
Uko sahihi mkuu. Niliwahi kuwa wa kuuliza maswali magumu wakuu wangu wa kazi nikaambulia kukosana nao.

Kuna mkuu mpya nimempata January namsifia na kukubali Kila mipango yake na kumjaza upepo kuwa atatoboa. Viten ananipa sana na Kwa mara ya kwanza nimelipwa posho nilipotumwa kumwakikisha katani.

Naungana na wewe kwenye uchawa, unalipa sana
Sifiaa mzee maisha yaende mkuu
 
Machawa wengi wamepitia mazito sana huwezi amini..

angalia mkuu wa mkoa wa Arusha, alifikia hatua hadi ya kumlamba miguu Riz One kipindi awamu ya 4..

Wengine hadi wanafumuliwa marinda..

Muulize Pdidy kule mambele alichowafanya kina MeekMil just to gain fame..

Free is Expensive in some ways
Nitakiwa makini kuhusu kufumuliwa
 
Sijasoma andiko lako, ila kwa sababu naelewa ukipata chance kwa mnene au mtu fulani kuwa chawa wake aisee inalipa.

Kuna jamaa yangu flani alianzia kwenye ukuadi hadi muda huu amekuwa kunguni na kajenga huko center ya nchi.

Kikubwa ifanye full time chawa ili uje ufike kuwa kunguni mkubwa utawin tu 😆!.

Unachagua maisha magumu sana aseee, maana kuna watu wana madegree wanapiga hiyo kazi duu 😁!!!.
 
Sijasoma andiko lako, ila kwa sababu naelewa ukipata chance kwa mnene au mtu fulani kuwa chawa wake aisee inalipa.

Kuna jamaa yangu flani alianzia kwenye ukuadi hadi muda huu amekuwa kunguni na kajenga huko center ya nchi.

Kikubwa ifanye full time chawa ili uje ufike kuwa kunguni mkubwa utawin tu !.

Unachagua maisha magumu sana aseee, maana kuna watu wana madegree wanapiga hiyo kazi duu !!!.
WEE TULIAA HUU MRADI NITAUFANYA TENA KIPIND CHA KAMPENI
 
Jana nilkuwa sehemu nimetuliaa nasubiria mechi ya yanga bas napiga zangu bia ya killimanjaro mdg mdg

Basi akafika dad mmoja hivi wa makamu wako na rafiki zake wawili wazuri Kweli japo umri wao umenda kdg Ni Hawa wanaitwa mashangazi wakaomba wake kwenye meza nilioko mm

Kumbe Huyu dada amezaliwa kijij kwetu ila Ni muda mrefu nilikuwa mdogo pindi anaondoka kwenda kutafuta maisha mjni hvyo Bado namkumbuka ila yey hanikumbuki ila anawafahamu baadhi ya ndugu zangu ,Basi wakaa pale wakaagiza vinywaji vyao na mm nikaongezewa bia jumla zikawa sita mezani nikawanapiga huku namkumbusha watu wa kule Basi akafurahi sana na mm nikawa namsifia sana kuwa unajali Sana familia yako hat wadogo zako wako vzr sna wewe Ni mtu wa maana sna sna Basi akawa anafurahi sana nikaagiziwa kuku nusu ,namm nikaanza kuchochea kuni Zaid Hadi mechi inaanza Wala sina muda namjaza upepo tu

Saa nne wakataka kuondoka na mm nika wa escort had kweny gari lao Aina ya Forester new model kufikaa nashangaaa akaniita pembeni akaniambia " mdogo wangu umenifanya leo nifurahi mbele za rafiki zangu nashukuru sana sana umekomesha " akazama kwenye mkoba wake akaibuka na elf 50k na kuniachia namba yake na kunielekeza ofice yake iliko

Ki ukweli nimefurahi mm kupata pesa za bila kutumia nguvu kubwa just kusifiaa tu

Nimeamini watu wengi wanapenda kusifiwa mno Hakuna anataka kupewa sifa mbaya

Sasa nataka niwe chawa rasmi kwamba Ni kusifu na kuabudu hakuna namna naweza pata pesa kirahisi
Nitatafutaaa namba za mwijaku,baba level anipe mbinu ili niboreshe Zaid uchawa na Kisha nipige mpungaa
Siku zote siyo jumapili na bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi.

Huyo mshangazi alivyokuchunuku 50, usitegemee kuwa huo ndiyo mfumo halisi wa maisha ya kila siku ulivyo.

Emb leo nenda tena position ile ile kwenye meza ile iile uone kama utapata matokeo yale yale.

Tukuletee visa vichafu wanavyofanyiwa hao watu na wanakubaliana navyo?

Je wewe utaziweza kanuni hizo za kitumwa?

Hakuna mitikasi nyingine za kufanya mjini isipokuwa hiyo tu wewe umeona inafaa?

Sasa unapowaza kufanya kazi hiyo, uwaze pia masharti pamoja na vigezo vyake kuvizingatia.
 
Back
Top Bottom