Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Kule Ig kuna jamaa anaitwa mwalimu ni anadili na mahusiano , kwa kweli wanaaotafuta wachumba wengi 90% ni wachage hivi kuna tatizo gani?
Ni watu wa mkakati,kwenye mambo ya msingi yanayohusu maisha na kibunda aibu inakaa pembeni wanachangamkia fursa.
Sio watu wa kuvunga na kujivutavuta kama watu wa kabila zingine hadi wabembelezweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Just a joke
 
Namshukuru Mungu mimi nilipata mume hapahapa JF ndoa tumefunga na nina mtoto mmoja na mume wangu siku nitaanzsha uzi hapa
nlvomuadithia rafiki yangu n a yeye akanituma nmtumie maombi yake...

Yeye pia ni MCHAGA single mama la mtoto 1 wa miaka 7
Baba mtoto wake hayupo kabisa
Anatafuta mume MCHAGA ili waendane kiutamaduni
Umri wake 23-28
Kazi:anaapambana na yy ni mwalimu hajaajirriwa
Umbo: mwembamba sio sana na rangi ni maji ya maharagwe
Dini:catholic christianity
Utanipm nmpe namba zako mwenye uhitaji wa mke
Catholic christianity ni dini gani au ni nini kwa kuanzia. Wewe ni dini gani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom