Natafuta mchumba (mwanamke)

yumoki

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
284
133
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba.

Sifa kuu za mchumba ninayemtafuta;
1) Awe muislamu.
2) Awe serious.
3) Asizid miaka 35.

Mimi sasa sifa zangu;
1) Kwasasa najishughulisha na biashara.
2) Mweusi.
3) 33 ndio umri wangu.

Karibuni tujenge familia ili mwaka 2023 tuanze vyema.
 
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba
Sifa kuu
1.awe muislamu
2)awe serious
3)asizid miaka 35
Mimi sasa sifa zangu
1)kwasasa najishughulisha na biashara
2)mweusi
3)33ndio umei wangu karibuni tujenge familia ili mwaka 2023 tuanze vyema
Wewe ni Jinsia gani?
 
Mim ni kijana ambaye natafuta mchumba
Sifa kuu
1.awe muislamu
2)awe serious
3)asizid miaka 35
Mimi sasa sifa zangu
1)kwasasa najishughulisha na biashara
2)mweusi
3)33ndio umei wangu karibuni tujenge familia ili mwaka 2023 tuanze vyema

Pia mimi ni wa kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom