Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

Winner22

Member
Mar 9, 2022
17
38
Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial.

Natafuta kazi kati ya hizi:-
  • Secretary
  • Stationary
  • Reception
  • Costumer care
Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya kazi sehemu mbalimbali katika Stationary, Ofisi na Shule.

Nipo Mkoa wa Arusha na Niko tayari kufanya kazi katika Mkoa wa Arusha, Manyara, Dodoma.

Ahsanteni.
 
Habari Wapendwa.
Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Nina elimu ya kidato cha nne na certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:-
-Secretary
-Stationary
-Customer care
-Reception.
Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 computer full na stationary. Nimeshawahi kufanya kazi sehemu mbalimbali stationary, shule na ofisi.

Mawasiliano yangu: 0785820366/ 0752036600

Ahsanteni.
Waeleze Uko mkoa gani dada ?ili mwenye uwezo ajua anakusaidiaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom