Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

SaulGoodman

JF-Expert Member
Nov 12, 2020
365
811
Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic.

Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi.

Itakua vyema sana kama Ushauri utatoka kwa mtaalamu wa ngozi (dermatologist) au mtu ambaye ana uzoefu wa kua nazo na kuzitibu.

Natanguliza shukran za dhati🙏
 
Tumia BIO OIL original itakusaidia...
Ila pia tunatoa kwa mashine karibu PM
Original nakazia tena...
 
Back
Top Bottom