tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,249
- 4,486
Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo?
Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii ambayo aya ambayo iko labelled ni 2, na hakuna mtu anaye question aya namba 1 iko wapi.
Je, ni mimi nimekosea au kuna jamaa aliwaingiza chaka watumishi wa serikali, wameamua kukariri tu template iliyokosewa?