Ninapenda kurudisha huu mjadala hapa kwa manufaa ya wengi kuliko kuongelea private ambapo wengine hawapati uelewa halisi.
PEP tunajua ni dawa ya kutumia pale unapo hisi umaweza kuwa umakutana na mtu anaye weza kukuambukiza vizuri za HIV, kuna maswali nilikua naomba kupata maelezo .
Je PEP ukiitumia zaidi ya mara moja mfano, umekutana na mtu hana maambukizi ila kwa kuhofu ukatumia kwa mwezi mmoja, baada ya hapo ukaendelea tumia tuseme labda kwa miezi mitatu ,je ukikutana na mtu mwenye maambuizi je PEP itafanya kazi au itakua imesha zoea mwilini na kutofanya kazi? labda nieleze kwa nilicho kifanya mimi na mwenue utaalamu anieleze ni hatari kiasi gani?
Suala liko hivi, nilikutana na mtu ambaye nina wasiwasi naye kwa tabia yake , baada ya kukutana naye nika mpima kwa kipimo kile cha kujipima, alikua hana maambukizi, ila kwa kuto kuwa na uhakika , nika tumia PEP kujilinda, kwa mwezi mmoja, baada ya hapo nika cheki sina mambukizi, baada ya hapo nikafanya hivyo hivyo kwa watu wengine kama 4 juma ni kama nime tumia PEP zaidi ya miezi 5 na wote niliwapima walikua hawana maambukizi.
Tatizo nimekuja kutana na mmja ambaye sikumpima na kuja gundua ana tabia ya kulala na watu wengi na baadhi ya actions alizo zifanya kwenye tendo , zinanipelekea kuona kama alini komoa ,sasa najiuliza je kama ana mambukizi ninakuwa salama kwa kiasi gani? Sababu nilipo kukutana naye, nilikua natumia PEP na ikabidi niongeze zingine kwa mwezi mmoja ili zitimie siku 30 na zimeisha leo yani baada ya kukutana na huyu jamaa zimesha pita siku 30, leo nimekwenda kupima l nime kuta hakuna kitu, Swali ni kuna usalama gani wa kutumia PEP kwa muda mrefu na kuna madhara gani ya virusi kama unatumia muda mrefu na kukutana na mtu mwenye maambukizi? Je Pep ukitumia muda mrefu ina zoea mwili na kufanya virusi kuwa sugu kama uakutana na mwenye virusi?
Ninatype huku nina usingizi hivyo kueleweka inawez akuwa shida ,ila natanguliza shukurani .