Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 35,376
- 57,013
1-NIDA (Namba au kitambulisho chenyewe)ili upate TIN pale TRA.Habari wa JF,
Samahani nina swali kuhusu upatikanaji wa leseni ya biashara .Iwapo nina TIN number.
Je, ni documents gani natakiwa kuwa nazo ili kukamikisha upatikanaji wa leseni na pia muongozo wa upatikanaji ukoje na inachukua mda gani na gharama zake.
NB: Ni duka la Nguo za Mitumba.
2-Mkataba wa upangaji au hati ya nyumba ufanyapo
/unapotegemea kufanya biashara.
3.Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa/kata unapoishi au kufanyia biashara.
Vyote hivyo utawasilisha halmashauri ya mji/manispaa au jiji ili uandaliwe leseni.
KUMBUKA kuuliza gharama ya leseni uitakayo ili uiandae kulipa.