Namna ya kukabili maumivu ya usaliti

Adam Clark

Member
Oct 7, 2023
14
12
Usaliti ni hali na kukosa uaminifu baina ya watu wawili au zaidi, usaliti ninaotaka kuzungumzia apa ni usaliti haswa wa mahusiano ya kimapenzi.

Jamii yetu ya saivi haswa kwa vijana wanapitia changamoto ya maumivu makali haswa pale wanaposalitiwa na wapendwa au wapenzi wao, sio siri inauma kwa hakka, kwa ambao wameshapitia hali hii wanatambua maumivu ya usaliti.

Kama kuna member yeyote wa JF ameshapitia hii hali basi anaweza kushare kidogo jinsi alivyo kukabiliana na hali hiyo ya maumivu na kurudia kawaida ili tuweze kujifunza kitu karibuni kwa hoja.
 
nimesoma kichwa cha habari nikafikiri unatoa namna kumbe unatuomba ushauri π‘Žπ‘›π‘¦π‘€π‘Žπ‘¦ π‘π‘œπ‘™π‘’ π‘˜π‘€π‘Ž π‘˜π‘’π‘ π‘Žπ‘˜π‘–π‘‘π‘–π‘€π‘Ž π‘˜π‘–π‘—π‘Žπ‘›π‘Ž π‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘€π‘Žπ‘˜π‘’ π‘›π‘‘π‘–π‘£π‘¦π‘œ β„Žπ‘–π‘£π‘¦π‘œ π‘€π‘Žπ‘™π‘–π‘£π‘¦π‘œ β„Žπ‘Žπ‘‘π‘Ž π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž π‘’π‘›π‘Ž 𝑛𝑔𝑒𝑣𝑒 π‘§π‘Ž π‘˜π‘–π‘’π‘šπ‘’ π‘Žπ‘’ β„Žπ‘’π‘™π‘Ž 𝑛𝑦𝑖𝑛𝑔𝑖. π‘―π’–π’˜π’†π’›π’Š 𝒋𝒖𝒂 π’‰π’‚π’˜π’‚ π’—π’Šπ’–π’Žπ’ƒπ’† π’˜π’‚π’π’‚π’•π’‚π’Œπ’‚ 𝒏𝒏
 
Usaliti :ni hali na kukosa uaminifu baina ya watu wawili au zaidi, usaliti ninaotaka kuzungumzia apa ni usaliti haswa wa mahusiano ya kimapenzi
Jamii yetu ya saiv haswa kwa vijana wanapitia changamoto ya maumivu makali haswa pale wanaposalitiwa na wapendwa au wapenzi wao, sio siri inauma kwa hakka, kwa ambao wameshapitia hali hii wanatambua maumivu ya usaliti, kama kuna member yeyote wa JF ameshapitia hii hali basi anaweza kushare kidogo jinsi alivyo kukabiliana na hali hiyo ya maumivu na kurudia kawaida ili tuweze kujifunza kitu karibuni kwa hoja
Namna rahisi ya kusahau kusalitiwa ni kujifungamanisha na Mungu. Fanya maombi mara kwa mara kwa kumwomba Mungu umsahau aliyekusaliti.
 
Kama ulimkuta sio bikira hilo ni wazi kwamba mashine yako siyo ya kwanza kwenye K yake kashachezea za kutosha.

Huyo ni malaya

Usitegemee dushe lako pekee litamridhisha malaya

Umeingia kwenye shindano ambalo analinganisha mipini iliyompitia. Hauwezi kuwa her best option hata siku moja

It's not your duty to sexually satisfy a harlot is the duty of the streets
 
Usaliti ni hali na kukosa uaminifu baina ya watu wawili au zaidi, usaliti ninaotaka kuzungumzia apa ni usaliti haswa wa mahusiano ya kimapenzi.

Jamii yetu ya saivi haswa kwa vijana wanapitia changamoto ya maumivu makali haswa pale wanaposalitiwa na wapendwa au wapenzi wao, sio siri inauma kwa hakka, kwa ambao wameshapitia hali hii wanatambua maumivu ya usaliti.

Kama kuna member yeyote wa JF ameshapitia hii hali basi anaweza kushare kidogo jinsi alivyo kukabiliana na hali hiyo ya maumivu na kurudia kawaida ili tuweze kujifunza kitu karibuni kwa hoja.
Tafuta pesa tafuta pesa, tafuta pesa, watakuja Hadi uwashindwe! Then okoka
 
kuumia lazima ila kuendelea kuumia ni maamuzi yako. What goes around comes around.
 
Njia ninayotumia huwa ni moja tu, sikariri namba ya simu ya mtu yeyote isipokua ya Baba na Mama yangu.
Atakaenisaliti nafuta namba zake hapo hapo itaniuma kwasababu nimemzoea lakini kuikosa namba yake itanisaidia kuacha mawasiliano nae na nikitoboa miezi mitatu huyo kwenye maisha yangu ndo nimemfuta jumla moyo wangu unakua mweupe sana wala sihitaji hata kumuona
 
Back
Top Bottom