mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Habari za jioni.
Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti?
Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu?
Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau.
Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni..
Unamuona kama binadamu tu mwingine wa kawaida. awepo sawa asiwepo hewala.
Hata kutoka pamoja hamtoki tena, hamna stori zaidi ya kujuliana hali, mkiongea ni maendeleo ya watoto, mafundi, biashara full stop,
hakuna hata simu wala sms (uliacha kumpigia maana hata simu zako alikuwa hapokei na mnaishi nyumba moja chumba kimoja kitanda kimoja!!!!!) alidanganya kuwa hajaoa, na pete ya ndoa alipovulia anajua mwenyewe),
Sasa unatoka mwenyewe labda na wanao na unagundua ni raha iliyoje unaenjoy to the maxmum, unaishi maisha yako as if hayupo. unafanya issue zako mwenyewe,
Hata tendo kwa kusua sua.................
Maisha yanasonga!!!!
Sasa basi........
Baada ya miezi kadhaa mumeo anajitahidi kujirudisha ....
Bahati mbaya hakushtui.... na unagundua kwa kuwa humuamini hata akisema kitu cha ukweli wala hukipi uzito unajua ni mauongo yake tu ya kawaida, atakuwa yupo kwenye ubaharia wake tu.......… kila afanyacho unaona kama anajikosha tu hamna jipya, hakushtui, hakusisimui, yaani anaweza kutuma msg asubuhi ukaiona saa tisa maana hata hujishughulishi na msg zake( si mlishaacha kutumiana msg na simu)
Sasa anataka muyajenge........
wenye uzefu jamani...mnaanzia wapi??????????????????????????