KWI KWI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 286
- 84
Hii...safi sana...Mimi napenda sana juice...kama kuna mwenye kujua aina mbali mbali za ku'blend'' tafadhari tujuzane.
Asante sana.
Asante sana.
juisi ya rozella
jinsi ya kutengeneza
1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke
2. yatoe kwenye moto weka chini
3. weka majani mekundu kijanja (uhi) kimoja na nusu
4. kaa dakika 20
5. chuja
6. weka kwenye glass
7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali
8. tayari kwa kunywa
angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.
fuata utaratibu huo huo hapo juu.