Calvin75
New Member
- Jul 27, 2015
- 2
- 5
Mahitaji
- Unga wa ngano kilo 1
- Amira vijiko 2 vya chai
- Sukari vikombe viwili vya kahawa
- Vanila ya unga nusu kijiko cha chai
- Chumvi nusu kijiko cha chai
- Nazi 1 tui zito
- Mafuta lita 2
Maelekezo
- Chemsha mafuta mpaka yachemke, weka unga kwenye bakuli au sufulia.
- Weka chumvi, amira changanya. Chota mafuta vikombe viwili vya kahawa weka kwenye unga.
- Changanya vizuri na mwiko ( tumia mwiko sababu mafuta ni ya moto). Endelea kuchanganya na mikono mpaka unga uwe mlaini kabisa.
- Uchanganyikane na mafuta vizuri, chukua tui weka sukari na vanila. Tui liwe la uvuguvugu, koroga mpaka sukari iyeyuke.
- Weka kwenye unga, endelea kukan