Nahitaji Mwanasheria kwa ajili ya kufungua kesi ya madai

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,948
Iko hivi...

Mimi ni mmoja wa wanahisa wa kampuni fulani mkoani Arusha.Katika harakati za kutaka kuongeza mtaji,wazo la kwenda taasisi za fedha kukopa likaibuka.Moja ya mahitaji ya hiyo taasisi tuliyotuma maombi ni kutaka kujua historia ya ulipaji wa mikopo ya wanahisa wa kampuni.

Sasa kupitia credit reference bureau iitwayo Credit Info Tanzania, majority shareholder wetu kaonekana alidefault mkopo wake alipchukua CRDB mwaka 2016 wa 29,000,000/= hvyo mkopo ukawa written off.

Hisi taarifa sio sahihi sababu mkopo ulilipwa wote na tutanyimwa huu mkopo kwa taarifa hizi zisizo sahihi.

Mwanasheria mwenye ujuzi na haya mambo tuwasiliane tukawashitaki Credit Info Tanzania na CRDB.
Kama tukishinda,wakili atalipwa bonus ya 20% ya malipo yote. Tuwasiliane!
 
Back
Top Bottom