Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Kula matunda kwa wingi hasa parachichi, mboga mboga za majani, samaki kwa wingi ila nyama na wanga kiasi( isiwe sana), japo mimi sio mtumiaji ila kuna kitoweo flani hivi ningeshauri ila isivyo bahati kwa wengi ni haramu. hivyo tubakie humu humu tu
Ale wanga kiasi ila mboga za majani kwa wingi 🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi huko shule mlienda kufundishwa ujinga?
 
Rahisi sanaa
Kula protein kwa wingi ikiwezekana kila siku kula mayai 10 pekee ya kukaanga

Punguza sex

Lala sanaaa mchana lalaa mno
Week mbili kama hujanenepa utakuwa ulikula rambo
Protein hainenepeshi.

Mtu ananenepa kwa kula vyakula vya wanga na sio mafuta wala protini.
 
Ila kuna watu huku wanachekesha sana😂😂 Eti ale protein,mboga za majani atanenepa😂😂 …. Hiyo theory mmetoa wapi??
Mleta mada ukitaka kunenepa kula wanga kwa wingi… Vyakula vya kunenepesha haraka
1. Chips
2. Chapati
3. soda
4. Bia

Alafu mbona kunenepa sio mpango kabisa wala sio afya!
 
Kumbe kunenepa ndio Afya,
Shule gani hiyo unayosoma/Uliyosoma?

Kinachokufanya usinenepe ni Stress tu,ukiwa na stress hata ule vyakula vya aina gani bado tatizo litakuwepo,kitu cha kwanza ni kupunguza stress kisha mengine ndio yafuate,

Anza kwa kucheki afya yako kama huna magonjwa yeyote.
 
Very true. Stress nyoko aisee.
Hafu mostly unakuta za mapenzi.

Mtu bora uachane nazo. Mi nilijaribu kutoa WhatsApp, kuacha jipendekeza kwa ex, ilisaidia sana matokeo positive ndani ya mwezi tu.
 
piga vyuma kula mara tatu ya unavyokula miezi miwili tuuh majibu utayapata ukienda kwenye mizani
 
piga vyuma kula mara tatu ya unavyokula miezi miwili tuuh majibu utayapata ukienda kwenye mizani
Kunywa Maji mengi, kula vizuri na kuhakikisha unashiba, Takatisha mawazo yako....stress free zone...
Mvinyo kidogo...
Usitembee na watu kichwani....
Sijui naeleweka......

Ukiwa na pesa unanenepa bila hata kuweka schemes...
 
Unaraha Sana ,wezako wanatamani wameze dawa (yanga) waharishe wakonde wewe unataka kunenepa
 
Habarini wana JF,

Nini kifanyike ili kuongeza mwili (unene) ili niwe na muonekano mzuri wa kiafya unaovutia?

Nahitaji kunenepa.
Utanenepa tu mimi sikuwahi zidi kilo 60 mara nyingi nlikuwa na kilo 58 ila sasa nauchukia mwili nilionao. Kuna kipindi hata nlitaka kunumua dawa za kuongeza hamu ya kula lakini sikununua sasa nmenenepa nimekuqa mzembe sana
 
Mzembe wa nini na nini?? Fafanua Kwa manufaa ya UMMA?🤓
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom