Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

Kula chakula aina ya protini kwa wingi
Kama nyama, maharage,njegere, samaki,dagaa , mayai

unakua na uzito wa kadri yaani sio uzito pungufu au uzito mkubwa
 
Punguza stress,chuki na wivu kwa wengine,kisha fanya hivyi hakikisha unakula zaidi ya mara 4 kwa siku na ule ushibe,vyakula vya protein hasa hasa maziwa,nyama mayai,kama unakunywa pombe hakikisha kila siku kabla ya kulala kunywa beer sio zile pombe kali,pia hakikisha unalala sio chini ya masaa 7 kwa siku.
 
Back
Top Bottom