Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana

Nadhani kipindi cha geography wewe ulikuwa unasinzia au unamuuzia mwalimu visheti vyake
 
tatizo ni nakisi uliyonayo kwny mambo ya hali ya hewa na sio joto wala Jiji lenyewe
 
Mji na Mkoa wa Dar Es Salaam ni eneo ambalo miale ya jua inapiga nyuzi 90.

Yaani jua linapiga Dar moja kwa moja kwa hiyo lazima joto lizidi.

Kingine kichochangia ni uwepo wa bahari na pia miti siyo ya kutosha.
 
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Ungetaja hiyo miji mingine uliyotembelea
 
Mji na Mkoa wa Dar Es Salaam ni eneo ambalo miale ya jua inapiga nyuzi 90.

Yaani jua linapiga Dar moja kwa moja kwa hiyo lazima joto lizidi.

Kingine kichochangia ni uwepo wa bahari na pia miti siyo ya kutosha.
Sio kweli dar kuna miti mingi sana
Dar kuna joto sababu humidity ni kubwa ina range 82 mwaka mzima ndo maana joto ni kali
 
Usiniambie siyo kweli
Baki na ujinga wako
Miji ya india mpaka singapore ina joto sana japokua ina mvua nyingi sababu kubwa ni kuwa na kiwango kikubwa cha humidity

Sehemu yeyeote ambayo hakuna jangwa na joto ni kali sababu kuwa ni kuwepo na humidity kuwa kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom