Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,333
- 159,471
Kwahiyo unawashauri waoe wanaume!!.
• Kama ulikuwa billionaire na unataka kuwa millionaire, Oa mwanamke.
.
Kwahiyo unawashauri waoe wanaume!!.
• Kama ulikuwa billionaire na unataka kuwa millionaire, Oa mwanamke.
.
Swala la mke ni swala serious sana, sio la kujichanganya kutafuta ovyo ovyo mtandaoniHabari zenu...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina bachelor degree,
Ni muajiriwa Serikalini,
Pia mfanyabiashara,
Ni mweusi 5.7 feet tall,
Ni mweusi wa wastani.
Natafuta mke wa kuoa
Awe na umri wa kuanzia 22-30
Awe mchapa kazi
Awe mrefu
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na hofu ya Mungu.
Aje PM
Brother Mshana Jr nimeokota vitu nami pia. Ubarikiwe sanaNaomba nikushauri kitu, chukua atakayejitokeza ambaye ni above 30 , hao washakomaa akili na wanajitambua na ni wazoefu kwenye mengi
Hao 22 mpaka 28 hivi wengi wao bado akili zao zina wenge la kutisha sana
Ushauri wa pili, kama hutafanikiwa this time, nextime usitangaze kutafuta mke bali rafiki.. Ukishatoa hiyo ofa watu huficha makucha yao kwa ajili ya kutamani ndoa! Maisha yakushatulia kuna rangi halisi utaziona na nyingine ni nyeusi sana
Ushauri wa tatu, huyo atakayebahatika kupata hii ofa usikimbilie kuoa.. Nenda naye mdogo mdogo walau mwaka the minimum! Mwaka una vipindi vinne.. Unapaswa kupita naye vyote hivyo kisha mfanye marudio.. Maana mwanadamu naye ana vipindi vinne
Kupata
Kukosa
Kufurahi
Kuhuzunika
Kuna mengi pia ya kuangalia ili uweze kuyajua na kuchukua uamuzi sahihi
Mitazamo yake mbalimbali hasa kiimani, kiroho na kimaisha
Nyota zake na zako kama vinaendana
Tabia zenu kama zinalandana
Background yake
Familia yake
Ukoo wake nknk
Ushauri wa nne, ndoa ni taasisi iliyokamilika kwahiyo kila kitengo lazima kisimamiwe vema! Taasisi yenye mafanikio ni ile yenye muongozo sahihi, maono sahihi na utendaji sahihi..
Kumbuka huoi supermarket kwamba utamkuta mwenzako ni mkamilifu kwenye kila mawanda.. Ndoa ni nyumba tupu wakuijaza ni wewe.. Una uhuru wa kuamua ujaze nini
La mwisho ni lazima mpendane kwa dhati ya moyo! Akupende kwakweli kabla ya yote nawe umpende kwakweli kabla ya yote kwakuwa mwisho wa siku baada ya mengine yote kupiga kitakachowabakisha salama ni ule upendo wa kweli kati yenu
Yatafakari haya kama yatakufaa na nakuombea sana upate hitaji la moyo wako lakini pia kwenye hili na mengine yote MTANGULIZE MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
avumilie hiyo 3Bi mariam ana 33
Wapi nimesema hivyo mkuu. 🤔Kwahiyo unawashauri waoe wanaume!!
Oa mkuu, ila kwa style unayo tumia kutafuta mwanamke hii, haijakaa poa.Ninavyoona mnacheka
📌📌📌Ushauri wa pili, kama hutafanikiwa this time, nextime usitangaze kutafuta mke bali rafiki.. Ukishatoa hiyo ofa watu huficha makucha yao kwa ajili ya kutamani ndoa! Maisha yakushatulia kuna rangi halisi utaziona na nyingine ni nyeusi sana
Sio lazima useme.Wapi nimesema hivyo mkuu. 🤔
nataka aliyenizi hata umriSidhani Kama atatekeleza
Asante
mbona hasira kaka nimekukera nini? Ni introduction tu embu niambie umri nimeweka wa nini?Unaweka cv ya elimu kuna aliyekuuliza? We sema unataka mke, maswali yakijitokeza jibu. Wapo wanaouliza una miaka mingapi, unafanya kazi gani, dini gani? Mwenye kuridhika na majibu yako mtakutana muoane
Kwa nn?Oa mkuu, ila kwa style unayo tumia kutafuta mwanamke hii, haijakaa poa.