Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,736
5,944
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.

Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi.

Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri.

CCM oye.
 
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe
Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama,
Kwa hivi nategemea ndugu G.Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi,
Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri..

CCM oye.
Mkuu ni wewe ninae kuona katika group Fulani hivi ama ni mfanano wa majina/ I'd.
 
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe
Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama,
Kwa hivi nategemea ndugu G.Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi,
Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri..

CCM oye.
kwamba hadi uwe na macho ya rohoni ndo uione nyongeza?
 
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.

Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi.

Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri.

CCM oye.

Kwa hiyo mshara wangu nisijue kama umeongezeka au la, basi natafuta kiona mbali (Darubini) maana ilo ongezeko ni dogo kuliko bakteria.
 
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.

Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi.

Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri.

CCM oye.
Hapa kuna jibu litakuja kwamba una chuki za kidini na ni mbaguzi wa kijinsia pia utaambiwa wanaomharibia ni waliomzunguka yeye ana nia ya kuongeza mishahara minono inayoonekana kwa macho ya nyama
 
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.

Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi.

Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri.

CCM oye.
WATUMISHI wa Tanzania NJAA SANA
 
Hivi kumbe matokeo ya may mosi huwa ni July basi sawa tuwe na subira Wataongeza siku nyingne.
INGAWA SIAMINI KAMA HAWAJAONGEZA MAANA SIKU HZ SIASA NI NYINGI
 
Siyo rahisi kwa ccm ya awamu 5 na sita inazarau Sana kwa wanyakazi wa imma
 
Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe.

Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo,

Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa kazi.

Nyongeza ipo hebu tuangalie vizuri.

CCM oye.

Kweli hapo Mpaka Msigwa aje kutoa ufafanuzi wa nyongeza waliyoweka.
 
Back
Top Bottom