Mzee Kinana bora ungenyamaza usitukumbushe mateso ya uchaguzi wa 2015, 2019 na 2020 wewe pia ni mhusika mkuu

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,340
Mzee kinana bora ungekaa kimya kuliko kusema. Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kumtafuta Mgombea wa CCM ushiriki wako katika DHULMA mliyomtendea Hayati Edward Lowassa wewe pia ni Mshiriki.

Hukuishia hapo bado Ulimfuata kwenye UCHAGUZI MKUU wa Urais kwa kuingilia Mfumo wa Matokeo wa TUME ya UCHAGUZI na kufungua Ofisi yenu ya KUIBA kura kule MASAKI baada ya kuona MGOMBEA wenu Kagalagazwa na kwa kuwa Malipo ni hapa Duniani alichokufanya Mwenyekiti wako kinajulikana ukaishia kumpigia Magoti.

Leo kuwaambia Watanzania eti Uchaguzi wa 2024 na 2025 wasiwe na HOFU kwani Matokeo ya Uchaguzi wa 2019 na 2020 Wananchi tunayakumbuka sana na kusema kwako hivyo ni UONGO wa MCHANA wa CCM kwani Hata Hayati MAGUFULI alisema hivyo na alichokifanya ni UCHAFUZI na Wapinzani Wakaishia kufunguliwa KESI za Mauaji Uhujumu Uchumi na Ugaidi na pia Kuwateua kina Halima Mdee na wenzake kinyume na Katiba.

Pamoja na Ubabe wa CCM na Magufuli Mungu ni FUNDI Magufuli leo yupo wapi pamoja na Mamilioni ya KURA aliyojiibia ktk UCHAGUZI ule wa DHULMA?
 
Unaikumbuka ile Ofisi ya Masaki?
 
Wazee wapuuzi kama.hawa dawa yao ni wagu kama JPM,hadi alistaafu siasa,hawa ndio wano tuharibia hii nchi,unateteaje muungano wa kipumbafu kama huu.
 
Kwa miaka kadhaa sijaona speech kali ya mwanasiasa ambaye si mwenyekiti wa chama kama ya kinana, haina mambo ya taarabu, maneno machafu machafu, one of the best historical speech, inepokwa ikapikikwa, and well presented by the best legal mind
 
Mzee kinana bora ungekaa kimya kuliko kusema. Ukiwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kumtafuta Mgombea wa CCM ushiriki wako katika DHULMA mliyomtendea Hayati Edward Lowassa wewe pia ni Mshiriki.

Hukuishia hapo bado Ulimfuata kwenye UCHAGUZI MKUU wa Urais kwa kuingilia Mfumo wa Matokeo wa TUME ya UCHAGUZI na kufungua Ofisi yenu ya KUIBA kura kule MASAKI baada ya kuona MGOMBEA wenu Kagalagazwa na kwa kuwa Malipo ni hapa Duniani alichokufanya Mwenyekiti wako kinajulikana ukaishia kumpigia Magoti.

Leo kuwaambia Watanzania eti Uchaguzi wa 2024 na 2025 wasiwe na HOFU kwani Matokeo ya Uchaguzi wa 2019 na 2020 Wananchi tunayakumbuka sana na kusema kwako hivyo ni UONGO wa MCHANA wa CCM kwani Hata Hayati MAGUFULI alisema hivyo na alichokifanya ni UCHAFUZI na Wapinzani Wakaishia kufunguliwa KESI za Mauaji Uhujumu Uchumi na Ugaidi na pia Kuwateua kina Halima Mdee na wenzake kinyume na Katiba.

Pamoja na Ubabe wa CCM na Magufuli Mungu ni FUNDI Magufuli leo yupo wapi pamoja na Mamilioni ya KURA aliyojiibia ktk UCHAGUZI ule wa DHULMA?
Tumia akilikidogo, unasema Magufuli yukowapi kwani huyo unaedai aliibiwakura nayeye yukowapi, na wewe unajijua ulipo?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom