Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,012
143,715
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi.

Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa 2020 Ili kujipatia ushindi mnono

Wanaccm karibuni zaidi 😄.

====

Pia soma: Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?
 
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi

Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa 2020 Ili kujipatia ushindi mnono

Wanaccm karibuni zaidi 😄
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
 
Unaonesha usivyo na uwezo wa akili hadi unalitumia neno "kichaa" kujitetea.Unajipaka puu ili uogopwe na usisogelewe?
 
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
We ni kichaa zaidi, ipende nchi yako kwanza
 
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi

Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa 2020 Ili kujipatia ushindi mnono

Wanaccm karibuni zaidi 😄
CCM hawajawahi kushinda uchaguzi, huwa wanapora na Wanajua Sana
 
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
We ni m5*ng3 kupindukia. Na hii ndo aina ya watanzania tulio nao kwenye huu muungano wa CCM na Zanzibar.
 
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Wajinga mnazidi kuongezeka Kama Makamu Mwenyekiti wa ccm anakiri Hadharani kuwa Yaliyotokea kwenye Chaguzi zile hayatajirudia tena wewe ni nani utupe lawama kw Wapinzani Nchi hii Wajinga mpo wengi sana
 
Wewe umenielewa japo mwisho umekosea. Nilichomaanisha CCM tukikiri kuwa uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa mabavu maana yake tuliiba kura, tulidhulumu wapiga kura hivyo chama mfu chadema walishinda chaguzi zote ndiyo wanaostahili kuwa na rais mpaka sasa. Je yafanyike maandamano ya kuipindua serikali ya Dkt Samia kwa sababu tunakiri kuiba kura????? Ndiyo maana nasema ni VICHAA kwa sababu jumuiya ya kimataifa tuliiambia uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
 
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Basi ccm ni vichaa hawafai kuongoza nchi maana ndo wanaoisema hiyo kauli
 
Kila anayetoa hiyo kauli ni KICHAA. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, wapinzani baadhi walisusia. Na ni unafiki kusema eti ni wa mabavu wakti sisi CCM tuna dola na dola lazima tuitumiw kubaki madarakani na hata akija mpinzani lazima atatumia dola. Sasa kauli za kijinga namna hii ni za watu vichaa wanaotaka kuuaminisha ulimwengu eti CCM huwa tunaiba kura, tena ningekuwa mwenyekiti kila anayetoa kauli ya aina hii angeshugulikiwa ikiwemo kumfukiza uanachama.
Ukisikia ujinga ndio huu, unasema mnamiliki Dola, hivyo lazima muitumie kubaki madarakani, wakati huo huo unasema uchaguzi ulikuwa huru na haki!
 
Wewe umenielewa japo mwisho umekosea. Nilichomaanisha CCM tukikiri kuwa uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa mabavu maana yake tuliiba kura, tulidhulumu wapiga kura hivyo chama mfu chadema walishinda chaguzi zote ndiyo wanaostahili kuwa na rais mpaka sasa. Je yafanyike maandamano ya kuipindua serikali ya Dkt Samia kwa sababu tunakiri kuiba kura????? Ndiyo maana nasema ni VICHAA kwa sababu jumuiya ya kimataifa tuliiambia uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Yaani nyie hata msipokiri inafahamika mlipora uchaguzi, au unadhani hiyo jumuiya ya kimataifa wao ni wajinga hawajui kuwa mlipora uchaguzi? Na sio kwamba mlipora uchaguzi ule tu, hiyo ndio tabia yenu maana hamna uwezo wowote wa kushinda kihalali, kwani ccm sio chama Cha kizazi hiki. Uchaguzi wa 2019-20 pale ndio ushenzi wenu wa kukaa madarakani kwa wizi ulidhihirika, maana mlikuwa chini ya kiongozi mpuuzi aliyezipenda siasa wakati siasa hazimpendi.
 
Back
Top Bottom