Mwanamke anaetazamia kupata mwenza. Lets connect

Peter Maziku

New Member
Jul 5, 2020
1
4
Salam wanajukwaa,

Mimi sio mgeni sana wala mwenyeji sana hapa jukwaani ila napiga hatua mbele ili kuweka kusudi langu mbele yenu.

Awali ya yote naamini kila jambo na wakati wake, kusudi na mandhari yoyote yaweza kua muafaka wa kukutana na kuendeleza urafiki au hata mahusiano ya kibiashara, kijamii na mapenzi mema (sio uhuni).

Mimi ni mwanaume (45) kabila Msukuma, mfanyakazi sector ya afya Medical Doctor (Cardiovascular Surgeon) Middle sized 6.2 feet, mweusi. Nina mto mmoja (11 yrs)

Natafuta kufahamiana na mwanamke mtu mzima 35 - 50 (chini ya umri huo wanafaa ila ningependa awe wa umri tajwa). Yeyote atafaa ila itafaa zaidi akiwa mwenye shughuli flani anayofanya kama kaajiriwa au kajiajiri. Akiwa na mtoto au watoto sio kikwazo na ni vizuri zaidi kwakua mimi nimechelewa kua na watoto na ninae mmoja tu ( wakiume 11 yrs)

Kabila lolote, sina ubaguzi wa kimakabila na dini yoyote ila awe na imani ya dini fulani.

Mkoa wowote sawa rangi yoyote umbo la mwili lolote ila akiwa kanawili kidogo itapendeza. Alie na shauku ya kukutana na kuanzisha urafiki na Mungu akijalia jambo jema lichipue hapo karibu.

Hata kwa wale wasio na vigezo nilivyotaja karibuni pia maana machaguo hubadilika waweza kua sio wa sifa nilizotaja ila ndo mipango ya Mungu ikatubadilisha mitazamo na machaguo yetu kwa sababu dhima ni kumpata anaenifaa.

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom