Mwamposa ajitetea kuwakamua waumini 'sadaka ya kujimaliza', atoa ufafanuzi mujarabu

Mtume alimfanyia muujiza akaokota msokoto ya f5 barabarani
Hahaha yaan n ujnga kbsa et katoa pesa zote kwa mtume kakomba akaunt zote bank m-pesa sjui nn haf naul alaf wkt anarud nyumban akaokota naul elfu 5 ...THEN WHAT?

MF wa kijingaaa sn ww kibaraka wa Mwamposa ebu lete andiko jngne lkn sio hlo. andiko lako la Wizi tumewashtukia

Au niseme wajinga ndio waliwao.

Zakuambiwa changanya na zako
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa nauli ya kurudia majumbani kwao.

Ufafanuzi uliotoka ni kwamba kutoa sadaka ya kujimaliza sio kutoa fedha zote ambazo mtu amekwenda nazo kanisani. La hasha! Maana ya sadaka ya kujimaliza ni kutoa fedha zako zote ulizonazo benki na kuziwasilisha kwa mtume kama sadaka. Kwa mfano, kama una akaunti 5 kwenye benki tofauti, komba pesa zote zilizomo kwenye akaunti hizo umtolee Mungu wako. Hii ndio maana halisi ya sadaka ya kujimaliza. Yaani unajimaliza kabisa na kuanza upya!

Mtume amesema hayo zikiwa zimesalia siku chache kabla ya mkesha wa mwaka mpya unaoenda kwa kaulimbiu ya "vuka na chako" utakaofanyika kanisani kwake katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam.

MAONI YANGU
Binafsi nimewahi kusimuliwa na muumini mmoja aliyetoa sadaka fedha zote alizokuwa nazo hadi nauli lakini wakati anaondoka kwa miguu kuelekea kwake Gongolamboto akitokea Kawe, mtume akamfanyia muujiza akaokota noti ya Tsh 5000 akaitumia kama nauli, yeye na wanawe wawili aliokuwa ameandamana nao.

Nsamini sasa ufafanuzi umewekwa wazi kwani waumini na wananchi walikuwa hasa hawafahamu maana ya sadaka ya kujimaliza.

Nawasilisha.

Pia soma > Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini
Huu ni uongo, ebu sema Mwamposa kayasema haya lini maana mahubiri yake yapo YouTube na social media nyingine.
Kama waumuni wangetoa kila kitu wasingeweza kurudi hapo kanisani kutoa tena.
Huyu mtume anajadiliwa sana nikaamua nijue ukweli wa yanayosemwa kupitia Mwamposa live.
Jumapili Jumatatu Jumanne na makongamano ya mikoani.
Nikajiridhisha kwamba yanayosemwa si kweli.
Maji yanayouzwa 1000 hata kilimanjaro anauza 1000, mafuta anauza 1000, udongo hauzi, keki hauzi.
Sadaka haiti watu majina wanaenda wenyewe kila siku na hawalalamiki.
Kuna wengine wametoa mamilioni kwa waganga wa kienyeji hakuna anayelalamika kuhusu waganga kuchukua hela kwa watu.
Ni wakati wake ukiamini nenda kwa Mwamposa au mganga wa kienyeji..
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea shutuma mbalimbali kutoka kwa wananchi kwamba amekuwa akiwakamua waumini hela zote hadi wanakosa nauli ya kurudia majumbani kwao.

Ufafanuzi uliotoka ni kwamba kutoa sadaka ya kujimaliza sio kutoa fedha zote ambazo mtu amekwenda nazo kanisani. La hasha! Maana ya sadaka ya kujimaliza ni kutoa fedha zako zote ulizonazo benki na kuziwasilisha kwa mtume kama sadaka. Kwa mfano, kama una akaunti 5 kwenye benki tofauti, komba pesa zote zilizomo kwenye akaunti hizo umtolee Mungu wako. Hii ndio maana halisi ya sadaka ya kujimaliza. Yaani unajimaliza kabisa na kuanza upya!

Mtume amesema hayo zikiwa zimesalia siku chache kabla ya mkesha wa mwaka mpya unaoenda kwa kaulimbiu ya "vuka na chako" utakaofanyika kanisani kwake katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam.

MAONI YANGU
Binafsi nimewahi kusimuliwa na muumini mmoja aliyetoa sadaka fedha zote alizokuwa nazo hadi nauli lakini wakati anaondoka kwa miguu kuelekea kwake Gongolamboto akitokea Kawe, mtume akamfanyia muujiza akaokota noti ya Tsh 5000 akaitumia kama nauli, yeye na wanawe wawili aliokuwa ameandamana nao.

Nsamini sasa ufafanuzi umewekwa wazi kwani waumini na wananchi walikuwa hasa hawafahamu maana ya sadaka ya kujimaliza.

Nawasilisha.

Pia soma > Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini
Wakristo mnapigwa hadi huruma kwakweli!
 
Mtu akitoa sadaka hivyo, ni haki yake ya kikatiba.

Ni haki yake ya kikatiba kuamua kuwa masikini pia.
 
Jana nimetazama filamu ya kimarekani inaitwa Message and the Messenger(2022) aisee..inaonyesha namna gani hawa viongozi wa hizi taasisi za kidini wanavyowaibia waumini wao.
Hii filamu imetokana na matukio ya halisi yaliyowahi kutokea.
 
Back
Top Bottom