Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,696
- 11,181
Kama hujui kitu kaa utulie usubiri kudukuliwa mtaro maana ndio kazi wazanzibari mnaweza
sio kwamba haihitaji tu, ni kwamba Tanganyika haijawahi kufaidika na chochote toka Zanzibar,Ukweli ndio huo
Watanganyika hua mnafuata nini zanzibar?
Mbona sioni sababu ya msingi ya ninyi kwenda huko na sioni mnalofuata huko,
Bakini kwenu mjenge kwenu wale wakija wakaribisheni, wala msiwabague namuwafahamu wale ni watu wabinafsi na wabaguzi sana na wenye choyo.
Kwani kuna mtu amesema hakuna watanganyika wanaofanya kazi zanzibar?!! Kinachozungumziwa hapa ni nani mnufaikaji mkubwa wa huu muungano, mbona lisu amefafanua vizuri, eti li ccm linakuja na hoja nyepesi eti tumeoleana!! Jibuni hoja hizoumeshawahi kufika zanzibar?kajionee mwenyewe kuna wabara wangapi wanafanya kazi kwenye tourism industry, zanzibar hata inasaidia tanzagiza kujulikana nje wengi hamlijui hilo labda …
ni watanganyika gani wanafanya kazi kwenye serikali ya zanzibar? mtaje hata mmoja tu. kule hata wakitangaza ajira kitambulisho cha mzanzibar ni cha kwanza kuonyesha. wakati huku kuna maelfu ya wazanzibar wanafanya kazi serikalini. yaani kwetu wapate, sisi kwao tusipate. tunaongelea ajira serikalini, sio hizo za mtaani za kufanya kazi hotelini. serikali ya Tanganyika imeajiri wazanzibar, ila serikali yao ni marufuku kuajiri mtanganyika.Kwani kuna mtu amesema hakuna watanganyika wanaofanya kazi zanzibar?!! Kinachozungumziwa hapa ni nani mnufaikaji mkubwa wa huu muungano, mbona lisu amefafanua vizuri, eti li ccm linakuja na hoja nyepesi eti tumeoleana!! Jibuni hoja hizo
Bosi wa ZRA. Yusuf Juma Mwenda.ni watanganyika gani wanafanya kazi kwenye serikali ya zanzibar? mtaje hata mmoja tu. kule hata wakitangaza ajira kitambulisho cha mzanzibar ni cha kwanza kuonyesha. wakati huku kuna maelfu ya wazanzibar wanafanya kazi serikalini. yaani kwetu wapate, sisi kwao tusipate. tunaongelea ajira serikalini, sio hizo za mtaani za kufanya kazi hotelini. serikali ya Tanganyika imeajiri wazanzibar, ila serikali yao ni marufuku kuajiri mtanganyika.
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional reforms".
Kwa upande wangu sikubaliana na ufumbuzi waliofikia kwa 100%
Check this out:
1) mineral and oil exploration be co-opted into the national debate on the future of the political federation.
-debate is good but mineral and oil exploration should not be political.
2)Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) should have an equal number of representatives from either side.
-Equal number kwa vigezo gani? Idadi ya watu? Tuelezene mlivyokuja na hiyo soultion equal number of people.
3)consultant on the distribution of wealth generated through mining and oil extraction be hired to advise the Union government on how it can be shared equitably.
-Please kama ni hivyo na huo muungano hatuutaki. For what?
4)It was decided that 50 per cent of the income would be used to finance the operations of the authority and the other 50 per cent be distributed on the basis of 60 per cent for the Mainland and 40 per cent for Zanzibar.
-Hivi hizo hesabu mnafanyaje? How did you come up with 60%, ardhi, watu,?????
Najua watanzania hawataki kuongelea muungano wakiogopa mizimu ya Mwalimu. Kwa upande wangu kuna mambo mawili tu hapa ambayo yanaweza kuleta ufumbuzi wa kudumu kwanza kuuvunja muungana na Zanzibar ikawa nchi kama ilivyo Kenya na tutaendelea kushirikian nao kama tunavyoshirikiana na Kenya, au Zanzibar uwe mkoa. zanzibar kuna watu wasiozidi 3 mil wakati mkoa wa Dar tu una watu 4 mil. Hapo utajiuliza ni kivitu tugawane nusu kwa nusu?
Kama watu hamtaki kuongela hili sual basi mwezi October linaingia kwenye katiba.
Mkataba wa makubaliano ya kuanzisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukisainiwa mwaka 1964.
Mkataba wenyewe (uliosainiwa) umeambatanishwa kama attachment.
huyo alikuwa meya wa kinondoni? ongelea kwenye sector zote, ukija bara, kila sector ya serikali hii kuanzia halmashauri yadi taifa kuna wazanzibar maelfu kwa maelfu, na sisi tunaona sio mbaya wacha wafanye kazi, ni watanzania. ila sisi huko mmesema tusitume hata cv.Bosi wa ZRA. Yusuf Juma Mwenda.
Samahani. Ulitaka utajiwe mmoja.huyo alikuwa meya wa kinondoni? ongelea kwenye sector zote, ukija bara, kila sector ya serikali hii kuanzia halmashauri yadi taifa kuna wazanzibar maelfu kwa maelfu, na sisi tunaona sio mbaya wacha wafanye kazi, ni watanzania. ila sisi huko mmesema tusitume hata cv.
hapana, taja wengi. huyo ni wa kuteuliwa, sio wa kuajiriwa.Samahani. Ulitaka utajiwe mmoja.
Ndio ivyo hata Mimi naunga mkono hoja, nasema Muungano ni wa ovyo sana
Njia sahihi ni kuitisha kura ya maoni kwa kila nchi wananchi waseme km wanataka muungano au hawautaki,wananchi ambao ndo walitakiwa kuamua hatma ya nchi yao hawajawahi kushirikishwa kamwe,ndo maana nasemaga huu ni muungano fake wa Nyerere na ccmHili suala hata mimi niliwahi kusema si suala la Lowassa na Vuai!
Hivi CCM na viongozi wake ni lini watakubaliana kuwa watanzania wana mawazo nao wanaweza kuchangia?
Kuhusu muungano ninakubaliana na wewe ni vema tuuvunje kwanza au iundwe serikali moja hata ukisoma kitabu cha Mwalimu uongozi na ... alishauri serikali moja kwa sababu alisema muundo wa muungano ni serilaki mbili kuelekea serkali moja baadaye. Lakini zanzibar cini ya CUF na CCM wenye we huko wanataka serikali tatu ili waendelee kutunyonya zaidi!!
Sawa haya ya (Lowaasa na Vuai )yakipelekwa bungeni yakapitishwa yatakuwa mabaya zaidi kuliko hata ya Nyerere na Karume . Hawa watu wa bara wataumia zaidi lakini hao hao wa bara wamekuwa kama
walinyweshwa dawa kuhuu muungano hawataki kabisa kuungolea!!!
Hapa ndipo huwa ninakubaliana na Mtikila!
Wazanzibari nimeamini Shukrani Hawana
Nilikuwa kijiwe kimoja pale Kisiwandui Zanzibar
Baadhi ya wazanzibari walalamika Raisi Samia kuwapa wazanzibari ajira Bara kuwa wanaharibika na kuua utamaduni wa kizanzibari
Kuwa wakipata ajira Bara wanaharibika na kuwa walevi na Malaya na wasio zingatia Dini Wala utamaduni wa Zanzibari wakiharibiwa na watanganyika wanakofanya kazi au kuishi mitaani