ndugu yangu uisiwaze sana na sisi watanganyika tumechoka tena sana ni kero kuwa na muungano ambao hauna tija ni vyema tuwaache waende tu tutaonana nao baada ya theory ikapoprove failure .binafsi nimechoka kabisa kusikia hizi kelele kwa kwelimbona sioni panapotamkwa neno'' tanzania'' mara baada ya kuungana? Ina maana tz ilizaliwa lini kama haimo kwenye waraka huu?
Usishangae ya Zanzibari. Hata katika Tanganyika Slaa aliongoza kwa asilimia kubwa ukilinganisha na Kikwete lakini NEC wakaamua kuwa Kikwete ndiye ameshinda.Haya mengine leo nawaletea
Tunafahamu muungano wetu ni baina ya nchi 2 huru zilizo ungana,ambazo mke na mume tukazaa tunda la muungano,katika serikali ya muungano,katika kumpata rais mchakato mzima lazima akubalike sehemu zote mbili,yaani tanganyika na zanzibar.
Cha kushangaza sasa katika uchaguzi wa 2010,Lipumba ndio aliongoza zaidi tena asilimia kubwa hapa zanzibar ukilinganisha na kikwete,sasa tujiulize vipi huyu atakuwa rais wa tanzania ambaye hajakubalika upande mmoja ?
Hili ndio tatizo moja kubwa la muungano,na sio kero,ni makusudi hasa,haya maradhi ya muda mrefu sasa,mi sizani kuwa rais wa tanzania amekubalika ipasavyo.
Jengine pia rais wa zanzibar Shein eti yeye apate kura nyingi kuliko maalim seif wakati lipumba amepata zaid ya maalim seif hivi kweli haya ? Inamana lipumba anapendwa zaidi kuliko maalim seif hapa zanzibar ?
Sizani kuwa Rais wa tanzania na zanzibar wanakubalika ipasavyo kuwa rais,kutokana na mchakato mzima ulivyokwenda,
Mfumo wa Muungano ni mbovu,Zanzibar tumetawaliwa,tunawekewa rais ambaye sio chaguo la wananchi,na hili ndio tatizo kubwa ambalo wazanzbari linawakera,kutokana ubabe wa tanganyika kutumia dola kumueka mkereketwa wao wa ccm ,sio mteuzi wa wananchi.
Lazima tuuvunje muungano,Hakubaliki Rais wa TZ wala zanzbar,Tunapelekana tu hewawa bwana.
MUPOOOOOOOOOOOOOOOO
Sam,
Inasikitisha sana kusoma huo mswada unaotegemewa kufanywa sheria katika siku za usoni , swali langu mimi ni moja tuu Watanzania ni nani aliyetuloga ? Kwa nini atufikirii kabla ya kufanya maamuzi ?
Kweli , kuna haja ya kuwa rocket scientist kujua ya kuwa huo mswada ni ujinga na ni kuwatukana wazalendo ? Yaani mapato ya madini yagawanywe katika uwiano wa 60% bara na 40 % zanzibar ....Ni vigezo gani wametumia kupata hizi figure ? kwanza zanzibar ina population ya watu wangapi .
Sam , naona utakuwa unaumiza kichwa tuu . Hawa viongozi awajali watu wa kawaida wanachodai ni masilahi yao binafsi ! siasa za bongo ni upotevu wa muda kwani wananchi wako so dormant na mara nyingi wanaishia kulalamika tuu .kikifika kipindi cha uchaguzi wanapitishiwa mswada wa kuwapa pilau " wanahongwa pilau " then wanawachagua kwa asilimia 80%.

Sababu za kihistoria na kujuana ndio sifa za muungano wa tanganyika na Zanzibar.

sitaki kusikia Muungano tena kwenye katiba mpya kwa kuwa;

1. Gharama za kuwalipa viongozi wa zanzibar ni kubwa kwa kuwa wana ratio kubwa ya (viongozi: watu) ukilinganisha na bara. wapiga kura kama 400,000:5,000,000 hivi wamechagua wabunge kama 45 na viti maalumu lukuki.

2. Zanzibar wamesema LIVE bila chenga mafuta yao watajipaka wenyewe na tanganyika wasitegemee chochote.

3. Zanzibar wanalipa bei ndogo kwenye umeme ukifananisha na tanzania bara.

4. Zanzibar wana sheria zao kali kama za kumiliki ardhi, kusoma kwao, kuishi kule na kufanya biashara..Vyote hivi ni vizuizi lakini wao hawataki kwa wawekewe huku bara.

5. Matusi na Kejeli za viongozi waandamizi wa zanzibar katika maswala mengi ya kitaifa. NOTE: Kama unafuatilia siasa hapa nchini utafahamu haya. Sitaki kuyasema saana.

6. Bodi ya mikopo HESLB wanataka kulipiwa ada lakini "inaaminika" serikali ya SMZ haichangii chochote zaidi ya kuchangia wanafunzi wasomeshwe.

7. la mwisho ni aya au ibara mbalimbali za muswada mpya wa katiba unaoonekana kama una nia ya kuibeba zanzibar tuendelee kuungana nao wakati hawatufai hata tone. Kwa hili nimeona post nyingi hapa JF zinaongelea kwa hiyo sita-duplicate vitu hapa.

Pamoja!!