Muungano Ujadiliwe Upya Ili Uwe na Tija.

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,759
41,618
Kwa bahati mbaya, watu wengi, na wengine wapo ofisi za juu kabisa katika nchi, wanajua historia ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kinadharia kwa kuegemea tu yale yaliyoandikwa, japo siyo ukweli.

Binafsi nilibahatika nikiwa bado nasoma chuo kikuu kupewa historia ya kina kabisa kilichosababisha na kilichotokea mpaka kukamilika kwa Muungano. Maelezo hayo niliyapata toka kwa marehemu Ibrahim Kaduma, ambaye wakati wa Muungano, alikuwa miongoni mwa wasomi wachache sana wa Tanganyika, na alikuwa kwenye circle za serikali ya Tanganyika kama mtaalam wa uchumi wa Serikali ya Tanganyika. Baadaye alikuwa waziri wa wizara 4 tofauti, ikiwemo mambo ya nje, wakati wa uongozi wa Mwalimu Nyerere.

Ukweli ni kwamba si Nyerere wala Karume, miongoni mwao alikuwa na wazo la Muungano, wala aliyehitaji Muungano. Muungano ulifanywa kutekeleza ombi la US.

Mwaka 1964, Henry Kissinger, Fireign secretary wa Marekani, myahudi anayetajwa kuwa mwenye very high IQ, alimwendea Hayati Jomo Kenyatta, na kumwambia kuwa aichukue Zanzibar kwa sababu asipofanya hivyo, Zanzibar inaweza kwenda Eastern Block. Mzee Kenyatta akasema, hawezi kwa sababu mtu ya kule ni goigoi sana.

Kissinger alimwendea Mwalimu Nyerere, tena wakati huo Mwalimu akiwa rafiki mkubwa wa Rais wa Marekani, akamwambia hivyo hivyo. Mwalimu akauliza itawezekana vipi kwenda kumwambia Karume kuwa naichukua nchi yako. Kissinger akasema kuwa Karume ana jeshi dhaifu sana, yeye ataongea naye. Ndipo Kissinger akaenda akamwona Karume na kumwambia kuwa taarifa za kiintelijensia inaonekana sultani aliyefurushwa anaandaa jeshi, na kwa vile jeshi la Karume ni dhaifu, hataweza kupambana na jeshi la sultani, hivyo njia pekee ni kuungana na Tanganyika ili apate ulinzi wa jeshi la Tanganyika. Karume akasema atawezaje kwenda kwa mwalimu na kumwambia nataka tuungane halafu jeshi lako lije Zanzibar. Kissinger akamwambia kuwa yeye atamsaidia. Kissinger akarudi kwa Mwalimu, document ikaandaliwa haraka, Bunge likakutana usiku, udongo wa bara ukabebwa ukachanganywa na ule wa Zanzibar, Muungano ukawa umekamilika.

Wakati wa utawala wa Nixon, Mwalimu hakufurahia sera za Nixon, Tanzania ikachukua msimamo wa kuegemea Mashariki, lakini ikisema hawaegemei upande wowote.

Baada ya uhasama wa Dunia ya Magharibi na Mashariki kukoma, japo haiwekwi wazi, Mataifa ya Magharibi yanaendelea kuuunga mkono sana Muungano huu kwa sababu wanazoziita za kiusalama.

Mazingira hayo yaliyotuunganisha, yamepita. Si vema sasa kuutengeneza huu Muungano kwa mahitaji ya sasa na kwa namna inayoeleweka vema kuliko kuendelea kuwa katika Muungano wenye muundo uliotaka kutatua tatizo specific, ambalo nalo kwa nyakati hizo halikuwa letu?

Matatizo yetu ya muungano, kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na msingi wa Muungano wenyewe, tena ulioundwa kwa hali ya dharula baada ya Karume kutishiwa kuwa nchi yake itavamiwa.

Tafadhali mod, naomba ubadilishe heading, isomeke Muungano na siyo muingano.
 
Hmmmh..hii ya Henry Kissinger ndio kwanza nasikia kwako..It sounds too fictional and true at the same time..

Kama JayZ alivyosema "We don't believe you,you need more people"

Nina uhakika wa 100% kwa kadiri nilivyosikia kutoka kwa mhusika. Na siamini hata kidogo mzee yule angeweza kusema uwongo, kwa sababu hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo.

Siyo hilo tu, alielezea pia mambo mengi ikiwemo jinsi alivyoshughulika usiku na mchana kuhusiana na mgogoro wa Biafra kule Nigeria.

Na mjadala ule haukuwa umelenga kunisimlia mimi bali alikuwa na wakubwa wengine wa Serikali aliokuwa akiwaelezea, huku mimi nikiwa nimeambatana na mkubwa mmojawapo. Na hiyo ilikiwa mara baada ya Mkapa kutangazwa kuapishwa kuwa Rais, naye kuwasiliana naye.
 
Mzee Mohamad said

Mzee wetu una jambo la kuongezea? Kupunguza?

Abdul Sykes alisema nini kuhusu Muungano wetu?

Tusaidie Watanganyika na mjadala huu
 
Kwa bahati mbaya, watu wengi, na wengine wapo ofisi za juu kabisa katika nchi, wanajua historia ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kinadharia kwa kuegemea tu yale yaliyoandikwa, japo siyo ukweli.

Binafsi nilibahatika nikiwa bado nasoma chuo kikuu kupewa historia ya kina kabisa kilichosababisha na kilichotokea mpaka kukamilika kwa Muungano. Maelezo hayo niliyapata toka kwa marehemu Ibrahim Kaduma, ambaye wakati wa Muungano, alikuwa miongoni mwa wasomi wachache sana wa Tanganyika, na alikuwa kwenye circle za serikali ya Tanganyika kama mtaalam wa uchumi wa Serikali ya Tanganyika. Baadaye alikuwa waziri wa wizara 4 tofauti, ikiwemo mambo ya nje, wakati wa uongozi wa Mwalimu Nyerere.

Ukweli ni kwamba si Nyerere wala Karume, miongoni mwao alikuwa na wazo la Muungano, wala aliyehitaji Muungano. Muungano ulifanywa kutekeleza ombi la US.

Mwaka 1964, Henry Kissinger, Fireign secretary wa Marekani, myahudi anayetajwa kuwa mwenye very high IQ, alimwendea Hayati Jomo Kenyatta, na kumwambia kuwa aichukue Zanzibar kwa sababu asipofanya hivyo, Zanzibar inaweza kwenda Eastern Block. Mzee Kenyatta akasema, hawezi kwa sababu mtu ya kule ni goigoi sana.

Kissinger alimwendea Mwalimu Nyerere, tena wakati huo Mwalimu akiwa rafiki mkubwa wa Rais wa Marekani, akamwambia hivyo hivyo. Mwalimu akauliza itawezekana vipi kwenda kumwambia Karume kuwa naichukua nchi yako. Kissinger akasema kuwa Karume ana jeshi dhaifu sana, yeye ataongea naye. Ndipo Kissinger akaenda akamwona Karume na kumwambia kuwa taarifa za kiintelijensia inaonekana sultani aliyefurushwa anaandaa jeshi, na kwa vile jeshi la Karume ni dhaifu, hataweza kupambana na jeshi la sultani, hivyo njia pekee ni kuungana na Tanganyika ili apate ulinzi wa jeshi la Tanganyika. Karume akasema atawezaje kwenda kwa mwalimu na kumwambia nataka tuungane halafu jeshi lako lije Zanzibar. Kissinger akamwambia kuwa yeye atamsaidia. Kissinger akarudi kwa Mwalimu, document ikaandaliwa haraka, Bunge likakutana usiku, udongo wa bara ukabebwa ukachanganywa na ule wa Zanzibar, Muungano ukawa umekamilika.

Wakati wa utawala wa Nixon, Mwalimu hakufurahia sera za Nixon, Tanzania ikachukua msimamo wa kuegemea Mashariki, lakini ikisema hawaegemei upande wowote.

Baada ya uhasama wa Dunia ya Magharibi na Mashariki kukoma, japo haiwekwi wazi, Mataifa ya Magharibi yanaendelea kuuunga mkono sana Muungano huu kwa sababu wanazoziita za kiusalama.

Mazingira hayo yaliyotuunganisha, yamepita. Si vema sasa kuutengeneza huu Muungano kwa mahitaji ya sasa na kwa namna inayoeleweka vema kuliko kuendelea kuwa katika Muungano wenye muundo uliotaka kutatua tatizo specific, ambalo nalo kwa nyakati hizo halikuwa letu?

Matatizo yetu ya muungano, kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na msingi wa Muungano wenyewe, tena ulioundwa kwa hali ya dharula baada ya Karume kutishiwa kuwa nchi yake itavamiwa.

Tafadhali mod, naomba ubadilishe heading, isomeke Muungano na siyo muingano.
Baada ya kupata tu uhuru katika moja ya kauli zake (sina kumbukumbu sahihi ni lini ila wajuzi mtanisaidia) Nyerere aliwahi kusema angetamani kama visiwa vya unguja na Pemba vingekuwa mbali na Tanzania

Moja ni kuwa vipo karibu sana hivyo ni rahisi kucompromise suala la usalama ikiwa kutakuwa na utofauti kati ya sehemu hizi mbili

Fast forward baada ya Muungano na Seleka zote baina ya nchi hizi mbili

Suala la Usalama kwa Tanganyika ndio jambo kubwa sana ambalo linaifanya kuung'ang'ania Muungano kwa hali na mali, unaweza ukasema yote ila bado hutaiona interest ya Bara ukiacha usalama wake ambao unachagizwa na ukaribu wa kutisha baina yake na Visiwani

Ni ngumu kulinda mpaka wa bahari kubwa kuanzia Tanga mpaka Mtwara eneo ni kubwa sana na hatuna teknolojia hiyo ya kujilinda kiasi kwamba adui atokeae Kilomita 70 tu asiweze kujipenyeza na kujizatiti kabla hujachukua hatua bila shaka atakuwa akashafanya madhara makubwa

Kujua kila kinachoingia na kutoka pale Visiwani ndio msingi wa Bara kuendelea kushikilia nguzo hii ya Muungano kwa ajili ya Usalama wake, mengineyo yote ni ziada tu na hata vingi vinavyopatikana visiwani, bara ni maradufu yake
 
Kwa bahati mbaya, watu wengi, na wengine wapo ofisi za juu kabisa katika nchi, wanajua historia ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kinadharia kwa kuegemea tu yale yaliyoandikwa, japo siyo ukweli.

Binafsi nilibahatika nikiwa bado nasoma chuo kikuu kupewa historia ya kina kabisa kilichosababisha na kilichotokea mpaka kukamilika kwa Muungano. Maelezo hayo niliyapata toka kwa marehemu Ibrahim Kaduma, ambaye wakati wa Muungano, alikuwa miongoni mwa wasomi wachache sana wa Tanganyika, na alikuwa kwenye circle za serikali ya Tanganyika kama mtaalam wa uchumi wa Serikali ya Tanganyika. Baadaye alikuwa waziri wa wizara 4 tofauti, ikiwemo mambo ya nje, wakati wa uongozi wa Mwalimu Nyerere.

Ukweli ni kwamba si Nyerere wala Karume, miongoni mwao alikuwa na wazo la Muungano, wala aliyehitaji Muungano. Muungano ulifanywa kutekeleza ombi la US.

Mwaka 1964, Henry Kissinger, Fireign secretary wa Marekani, myahudi anayetajwa kuwa mwenye very high IQ, alimwendea Hayati Jomo Kenyatta, na kumwambia kuwa aichukue Zanzibar kwa sababu asipofanya hivyo, Zanzibar inaweza kwenda Eastern Block. Mzee Kenyatta akasema, hawezi kwa sababu mtu ya kule ni goigoi sana.

Kissinger alimwendea Mwalimu Nyerere, tena wakati huo Mwalimu akiwa rafiki mkubwa wa Rais wa Marekani, akamwambia hivyo hivyo. Mwalimu akauliza itawezekana vipi kwenda kumwambia Karume kuwa naichukua nchi yako. Kissinger akasema kuwa Karume ana jeshi dhaifu sana, yeye ataongea naye. Ndipo Kissinger akaenda akamwona Karume na kumwambia kuwa taarifa za kiintelijensia inaonekana sultani aliyefurushwa anaandaa jeshi, na kwa vile jeshi la Karume ni dhaifu, hataweza kupambana na jeshi la sultani, hivyo njia pekee ni kuungana na Tanganyika ili apate ulinzi wa jeshi la Tanganyika. Karume akasema atawezaje kwenda kwa mwalimu na kumwambia nataka tuungane halafu jeshi lako lije Zanzibar. Kissinger akamwambia kuwa yeye atamsaidia. Kissinger akarudi kwa Mwalimu, document ikaandaliwa haraka, Bunge likakutana usiku, udongo wa bara ukabebwa ukachanganywa na ule wa Zanzibar, Muungano ukawa umekamilika.

Wakati wa utawala wa Nixon, Mwalimu hakufurahia sera za Nixon, Tanzania ikachukua msimamo wa kuegemea Mashariki, lakini ikisema hawaegemei upande wowote.

Baada ya uhasama wa Dunia ya Magharibi na Mashariki kukoma, japo haiwekwi wazi, Mataifa ya Magharibi yanaendelea kuuunga mkono sana Muungano huu kwa sababu wanazoziita za kiusalama.

Mazingira hayo yaliyotuunganisha, yamepita. Si vema sasa kuutengeneza huu Muungano kwa mahitaji ya sasa na kwa namna inayoeleweka vema kuliko kuendelea kuwa katika Muungano wenye muundo uliotaka kutatua tatizo specific, ambalo nalo kwa nyakati hizo halikuwa letu?

Matatizo yetu ya muungano, kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na msingi wa Muungano wenyewe, tena ulioundwa kwa hali ya dharula baada ya Karume kutishiwa kuwa nchi yake itavamiwa.

Tafadhali mod, naomba ubadilishe heading, isomeke Muungano na siyo muingano.
Sijasoma thread yako, nitajibu heading nakwambia huu muungano hauna maisha zaidi ya miaka kumi ijayo.
 
Kenyatta:-
Nitaichukuaje znz ingali watu wake ni legelege!
-Kenyatta alikuwa na madharau sana.
 
Hmmmh..hii ya Henry Kissinger ndio kwanza nasikia kwako..It sounds too fictional and true at the same time..

Kama JayZ alivyosema "We don't believe you,you need more people"
Kura ya maoni (referendum) ifanyike. Kura hiyo itakuwa na matokeo moja kati ya haya:
1. Pande zote ziunaridhia.
2. Pande zote haziridhii.
3. Mmoja anaridhia, mmoja haridhii.
Ikiwa tutapata matokeo no. 2 au 3, muungano huu uvunjwe mara moja, tuangalie namna ya kuachana, Kila upande uwe nchi huru, tuendelee na maisha kama nchi jirani.
Ikiwa tutapata matokeo no 1, tuunde serikali moj ya Jamhuri ya Tanzania.
Huu muungano tulionao sasa hauna ridhaa ya raia wa pande mbili.
 
Back
Top Bottom