Mume kamkimbia, afanyaje?

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Hello Wasomi jinsia Ke na Me, salaam.

Nimefuatwa kuombwa ushauri. Binti ameolewa na jamaa yapata miaka minne sasa na wamejaaliwa mtoto mmoja. Ndoa waliyofunga ni ya kikristo.

Kama mnavyofahamu, palipo na zaidi ya mmoja..kutofautiana ni jambo la kawaida.

Katika maisha yao ya ndoa wakatofautiana na mume akaamua kuondoka nyumbani. Kachukua nguo zake na yupo tu mjini. Likely amepanga chumba/nyumba yapata miezi mitano sasa. Anachokifanya ni siku moja moja anatuma pesa za matumizi kwa njia ya simu.

Binti uamuzi wa awali aliouchukua ni kwenda serikali za mitaa labda wawasuluhishe, jamaa akaja ikashindikana.

Binti kashtaki kwa wazazi wa jamaa, nao wamepiga kimya hakuna wanachofanya.

Binti akaamua kuwaeleza watu wa kwao (upande wake Binti), nao wakachukua hatua ya kuwasiliana na jamaa (mkwe wao), wakamhoji vipi suala hili? Akasema ni kweli nimeondoka nyumbani na sina mpango wa kurudi tena. Upande wa Ke ukaamua kuwasiliana na upande wa me ili wajaribu kuokoa ndoa ya vijana wao, wazazi wa me hawajitikisi.

Sasa upande wa Ke umeamua labda kuanza taratibu za kudai talaka.

HATUA GANI ZIFUATWE ILI NDOA IVUNJWE?

Wote ni Watumishi wa Serikali. Wamechuma mali pamoja ikiwa ni nyumba mbili na gari moja.

Key
Me-Mwanaume
Ke-Mwanamke
 
Ulozi
 
Back
Top Bottom